19/06/2026
Shakib Cham awachana na Zari the boss lady 💀. Hii ni baada ya Arrow Bwoy kuwachana na Nadia mukami.
Sasa masingo boys watapatana kwa ring this Saturday.
Hapo mwanzo, Arrow Bwoy alishinda akitajataja jina ya Zari, na Shakib alikuwa amemwonya aachane kumtaja.
Unadhani reason ya Shakib na Zari kuachana ni Arrow Bwoy? Basi hii imekuwa personal, na ring itatoa vumbi🥊 😂
Leteni maoni yenu.