25/05/2025
Wa Kenya tuwache tabia mbaya k**a mtu au watu wamepata msiba ndio watu wengine wanasherekea na kuiba viombo sio kwema. Sio ungwana.Kama Jana tulikua na mkasa ya moto hapo Kambi unapata watu wana sherekea mabati ya wenyewe sio poa tuwe na huruma na haya.