06/08/2026
ππ± BADO TU AGRIGROW HIGHMAX NDO FOLIAR TUNA SISITIZIA WAKULIMA WA KILIMO BIASHARA! ππ
K**a unalima kwa biashara, kila maua, kila tunda na kila gunia lina thamani. Ndiyo maana lishe ya mazao yako haiwezi kuwa ya kubahatisha.
AgriGrow Highmax ndiyo foliar fertilizer inayowapa wakulima wa kisasa nguvu ya kuzalisha mazao yenye ubora na mavuno ya kuridhisha.
π§ͺ Active Ingredients:
β
NPK 24:24:18
β
Essential Trace Elements
πΏ Kwa nini AgriGrow Highmax?
β Huchochea ukuaji wa haraka wa majani na matawi
β Huimarisha mizizi kwa ufyonzaji bora wa virutubisho
β Huchochea maua mengi na fruit set bora
β Husaidia matunda kujaza vizuri na kuwa na ubora wa juu
β Huongeza uwezo wa mazao kutoa mavuno mengi
β Hufyonzwa haraka kupitia majani kwa matokeo yanayoonekana
π Application Rate: 20β40ml per 20L of water
π
Whether you're growing tomatoes, potatoes, onions, cabbages, vegetables, fruits, maize or other horticultural crops, AgriGrow Highmax gives your crop the balanced nutrition it needs to maximize productivity and profitability.
π₯ Kilimo biashara kinahitaji lishe ya kiwango cha biashara. Chagua AgriGrow Highmax na ulime kwa uhakika!
π Agrichem Africa Limited β Your Partner in Agriculture.