27/02/2026
Umuhimu wa Nishati ya Jua
🌍
Je, unajua?
Nishati ya jua ni safi, salama na ya kudumu kwa muda mrefu.
Kwa kufunga mfumo wa solar:
✅ Unapunguza bili ya umeme kwa kiasi kikubwa
✅ Unapata umeme hata wakati wa kukatika kwa grid
✅ Unaongeza thamani ya nyumba au biashara yako
✅ Unachangia kulinda mazingira
Katika RENEWABLE ELEVATE LIMITED (REL GLOBAL), tunatoa huduma za kitaalamu za:
🔹 On-Grid Solar Systems
🔹 Off-Grid & Hybrid Systems
🔹 Energy Audit & Site Analysis
🔹 EPC (Engineering, Procurement & Construction)
📞 Wasiliana nasi: +254-780092452
RENEWABLE ELEVATE LIMITED (REL GLOBAL)
“Empowering Africa with Sustainable Energy Solutions.”
www.renewableelevate.com