09/11/2025
TANGAZO MAALUM!!! kwa wale mnakuja Nyumbani This December.
1. Kizungu miingi muache Nairobi.
2. Hakuna kuona Tv asubuhi.
3. Hatuna kamba za kuanika Nguo anika kwa fence nanii!?๐คฃ
4. Muachane na remotes , tunawach local stations, mamboo ya series muache Nairobi.
5. Mkikuja na mbwa slayqueens uku..mjue hatulali na mbwa ndani ya nyumba ..kanalala nje na kina simba na tusker.
6. Mkuje na maids, hakuna kubeba mtoto wa mtu.
7.Hatuwachotei maji ya kuoga, kila mtu mtoni na kibuyu.
8.Mkujie watoto na toys ,sio kuja kutunyongea paka na vifaranga.
9. Huku akuna maji ya dispenser.
10. Hakuna kupoint kuku na Funguo za gari.
11. After kuoga pelekea mzazi sabuni aoshe vyombo.
12. Ladies mambo ya kusema sijui baba Brayo hapendi hii, sijui hapendi Misheveve... oooo..oooo...umemjua tu the other day..sisi tumemuona akiokota chakula na Maembe chini na hajai gonjeka๐๐๐๐.
13. Hakuna kupembeleza mtoto wa mtu akule akikataa tunakula.
14. Mkuje na slippers na charger.
15. Kuoga ni Monday, Wednesday na Sunday mkuje na Bibles sio kutoa hizo masimu zenu kubwa kubwa Church.
16. Hakuna kumlikiwa usiku kwa choo...shimo unatafuta na mguu๐๐๐๐๐.... Is we together?? ๐ฅด๐ฅด
17. Hakuna Kutupa ugali imelala hiyo ndio es**rt.
18. mjue hakuna pillow,huku unaekelea kichwa kwa mikono ukilala.
19. Hakuna kulala hadi 9, kuamka ni 6:15
20. Huku Saizi tuko Hadi na Simu za Type C so msituringie ๐คฃ