Zola solar Tanzania Ltd

Zola solar Tanzania Ltd Offgrid electric

Tunamkumbuka na kumuenzi Abeid Amani Karume kwa mchango wake mkubwa katika uongozi na maendeleo ya Zanzibar na Tanzania....
07/04/2026

Tunamkumbuka na kumuenzi Abeid Amani Karume kwa mchango wake mkubwa katika uongozi na maendeleo ya Zanzibar na Tanzania.

Tunawatakia siku njema ya kumbukizi ya Abeid Amani Karume.




Heri ya Pasaka! Leo tunasherehekea tumaini jipya, upendo na mwanzo mpya. Tunawatakia siku iliyojaa furaha, amani na bara...
05/04/2026

Heri ya Pasaka!
Leo tunasherehekea tumaini jipya, upendo na mwanzo mpya. Tunawatakia siku iliyojaa furaha, amani na baraka nyingi kwa wewe na familia yako.

Pasaka njema na yenye furaha.

Ijumaa Kuu ni muda wa kutulia, kutafakari na kuthamini sadaka na upendo wa kweli. Tunawatakia wote siku yenye amani, far...
03/04/2026

Ijumaa Kuu ni muda wa kutulia, kutafakari na kuthamini sadaka na upendo wa kweli.
Tunawatakia wote siku yenye amani, faraja na baraka tele.




ZOLA EDGE inawasha vifaa vyote vya nyumbani kwako. Iwe ni AC,Friji,Jiko la umeme ,TV ,Mashine ya kufulia au kifaa chocho...
03/04/2026

ZOLA EDGE inawasha vifaa vyote vya nyumbani kwako. Iwe ni AC,Friji,Jiko la umeme ,TV ,Mashine ya kufulia au kifaa chochote kinachotumia umeme kuwa na uhakika 100% ZOLA EDGE inawasha!⚡Unaweza kulipia Keshi au kwa Mkopo! Warranty ya miaka 10.

*5kva inverter/ 5kwh battery*
*1.Cash* 10,367,597/=
*2.Mkopo* kianzio 745,000/= kila mwezi 200,000/= muda miaka 10 Jumla 24,545,000/=

*5kva inverter/ 10kwh battery*
*1.Cash* 13,061,300/=
*2.Mkopo* kianzio 1,030,000/= kwa mwezi 250,000/= muda 10yrs 30,780,000/=





FLEX MAX DC ni mtambo wenye TV 43" unamwona mtu bila chenga. Zimebaki chache wahi kabla hazijaisha.Fahamu zaidi kwa kupi...
03/04/2026

FLEX MAX DC ni mtambo wenye TV 43" unamwona mtu bila chenga. Zimebaki chache wahi kabla hazijaisha.Fahamu zaidi kwa kupiga 0745775775 au 0744422020 kisha chagua 1.. Pia unaweza kuchati nasi kupitia Whatsapp +255744422020. Unaweza kulipia keshi au kwa mkopo, kidogo kidogo, kiingilio cha 200,000/= kila mwezi 105,000/= muda wa miezi 48 Jumla 5,185,000/=




less

Usikae gizani tena!Kwa kutumia FLEX MAX LIGHT, ZOLA inakuletea mwanga wa uhakika nyumbani kwako.Pata taa kali, chaji vif...
25/03/2026

Usikae gizani tena!
Kwa kutumia FLEX MAX LIGHT, ZOLA inakuletea mwanga wa uhakika nyumbani kwako.

Pata taa kali, chaji vifaa vyako na endelea na maisha bila kukatishwa ⚡
Ni suluhisho bora kwa kila siku rahisi, nafuu na ya kuaminika!

Wasiliana nasi leo uanze kutumia ZOLA FLEX MAX LIGHT leo


Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Mustafa Chikomele, Paulo Nela, Masimba KZ Aluminium, Gerr...
25/03/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Mustafa Chikomele, Paulo Nela, Masimba KZ Aluminium, Gerrishon Mwiti, Kakai Dancan, Päpä DrÏp, Daisy Yang, Tozzy Richkid, Wuod Mwalimu, Kanduyi Tiwayi Be, Julie Julie, Sophy Tanui

Tunakutakia Eid Mubarak wewe na wapendwa wako🌙✨
21/03/2026

Tunakutakia Eid Mubarak wewe na wapendwa wako🌙✨

Usawa wa nishati unaanza pale ambapo kila jamii inapata fursa sawa ya maendeleo. 🌍⚡Kupitia teknolojia bunifu za ZOLA Ele...
16/03/2026

Usawa wa nishati unaanza pale ambapo kila jamii inapata fursa sawa ya maendeleo. 🌍⚡
Kupitia teknolojia bunifu za ZOLA Electric, tunawafikia watu hata katika maeneo ya mbali na kuhakikisha kuwa nyumba, biashara na jamii zinapata umeme wa uhakika na endelevu.

Ndoto ya maendeleo inaanza na nishati.
ZOLA inaleta mwanga, nguvu na fursa kwa kila mtu.💡



10/03/2026

Chaguo ni lako! ⚡

Iwe unahitaji umeme wa kuaminika kwa familia yako au suluhisho kubwa kwa biashara yako, ZOLA inakupa chaguo linalokufaa. Kuanzia FLEX Series kwa matumizi ya nyumbani, FLEX MAX kwa nguvu zaidi kwa familia na biashara ndogo, hadi ZOLA EDGE kwa mahitaji makubwa ya kibiashara na viwandani.

Chagua suluhisho linaloendana na maisha yako,sisi tunahakikisha unapata umeme wa uhakika, muda wote. 💡




Leo tunaadhimisha nguvu, ubunifu na mchango mkubwa wa wanawake katika jamii na kwenye maendeleo ya teknolojia. 💙ZOLA, tu...
08/03/2026

Leo tunaadhimisha nguvu, ubunifu na mchango mkubwa wa wanawake katika jamii na kwenye maendeleo ya teknolojia. 💙

ZOLA, tunaamini kuwa wanawake ni sehemu muhimu ya kuleta mabadiliko chanya kuanzia uhandisi, huduma kwa wateja hadi uongozi. Kupitia juhudi na vipaji vyao, tunaendelea kupeleka nishati safi na ya uhakika kwa maelfu ya familia na biashara. ⚡

Tunawaenzi wanawake wote wanaoongoza, wanaobuni na wanaochochea maendeleo kila siku.

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani! 🌍💙




*ZOLA EDGE INAKUPA SINGLE PHASE YA UMEME SAWA NA UMEME WA  TANESCO* , Inawasha vifaa vyote vya nyumbani kwako. Iwe ni AC...
08/03/2026

*ZOLA EDGE INAKUPA SINGLE PHASE YA UMEME SAWA NA UMEME WA TANESCO* , Inawasha vifaa vyote vya nyumbani kwako.

Iwe ni AC,Friji & Freezer,Water Pampu aina zote,Jiko la umeme ,Pasi ya umeme, Incubator,Brender, Microwave,Fensi ya umeme,Taa za umeme 💡💡,TV ,Mashine ya kufulia au kifaa chochote kinachotumia umeme kuwa na uhakika 💯% *ZOLA EDGE* inawasha!⚡⚡

GHARAMA ZAKE KWA CASH NA MKOPO NI HIZI;

*15KVA inverter / 15kwh battery*
1.Cash :30,571,969/=

*2.Mkopo, kianzio 1,586,103/= kila mwezi 806,000/= muda miaka 5 Jumla kuu 49,146,161/= WARRANTY 5yrs.

Mikoa yote Tanzania tunafanya free installation na delivery 🚚
Tupigie leo, 0744422020
📞 0745775775






nishatimbadala
solarpower

Address

Sekei Opposite Mt Meru Hotel
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zola solar Tanzania Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Zola solar Tanzania Ltd:

Share

Category