16/05/2026
🔐 Ulinzi wa kisasa kwa biashara na ofisi yako!
Tumekamilisha usimikaji wa mfumo wa Access Control wa Hikvision kwa usalama na udhibiti wa watu wanaoingia na kutoka kwa urahisi zaidi.
✅ Fingerprint
✅ Card Access
✅ Face Recognition
✅ Door Lock Automation
✅ Attendance Management
Linda ofisi yako kwa teknolojia ya kisasa na yenye uhakika.
📞 0762864111
📞 0674884111
📍 Dar es Salaam, Tanzania