13/12/2024
TANGAZO TANGAZO
Kikundi cha Sanaa kijulikanacho k**a SIMANYA ARTS GROUP Kinatangaza nafasi za watu 10 (wakiume 6 na wa k**e 4) wenye vipaji vya kuigiza. K**a wewe ni mmoja wapo tuma ujumbe mfupi kwa Whatsapp No.0713032040 wenye neno NAWEZA, utapewa maelekezo Mengine. Watu kutoka mikoa yote mnakaribishwa.
Kumbuka namba hapo juu ni kwa ajili ya Whatsapp pekee.