Ramani ZA Nyumba

Ramani ZA Nyumba Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ramani ZA Nyumba, Construction Company, Dar es Salaam.

Nyumba nzuri uanzia kwenye ramani nzuri...karibu tukuhudumie
0715886725
Kazi tunazozifanya ni pamoja na:-
-Uchoraji ramani
-Kufanya ujenzi(wa aina zote)
-Ushauri kuhusu ujenzi
-Re-innovations (kurudia ujenzi,marekebisho nk.)
-Nyumba
-Kanisa/Msikiti/Shule

09/08/2026

Makosa 5 ya Wanaojenga Tanzania (Na Jinsi ya Kuyakwepa)

1. Kuanza ujenzi bila michoro kamili
Watu wengi huanza kujenga wakiwa na mchoro wa kawaida tu, bila michoro ya structural au huduma nyingine muhimu. Hii husababisha makosa ya ujenzi, gharama za marekebisho, na ucheleweshaji wa mradi.

2. Kutofanya Site Visit kabla ya kuanza ujenzi
Kutochunguza hali halisi ya eneo kunaweza kusababisha matatizo ya msingi, mifereji ya maji, au upangaji usiofaa wa jengo. Site visit husaidia kupanga ujenzi kwa usahihi tangu mwanzo.

3. Kuchagua fundi kwa bei nafuu bila kuangalia uwezo wake
Bei ya chini siyo dhamana ya kazi bora. Fundi asiye na uzoefu anaweza kusababisha hasara kubwa kuliko fedha ulizookoa mwanzoni.

4. Kutokuwa na bajeti na mpango wa hatua kwa hatua
Wengi huanza ujenzi bila makadirio ya gharama na ratiba ya kazi. Matokeo yake ni kusimama kwa mradi au kutumia fedha zaidi ya ilivyopangwa.

5. Kununua vifaa vya ujenzi bila ushauri wa mtaalamu
Baadhi ya vifaa ni vya ubora duni au havifai kwa matumizi yaliyokusudiwa. Ushauri wa mtaalamu hukusaidia kupata vifaa vinavyofaa na kuokoa gharama za baadaye.

Usifanye makosa haya kwenye mradi wako. Wasiliana nasi kwa huduma za Site Visit, Architectural Design, Construction Consultancy na ushauri wa kitaalamu.

📞 Call/WhatsApp: 0715 886 725

4 BEDROOMS HOUSE FOR FAMILY -Chini room 1 master sebule jiko store dining public toilet -Master bedroom 1 na Self-contai...
02/08/2026

4 BEDROOMS HOUSE FOR FAMILY
-Chini room 1 master sebule jiko store dining public toilet
-Master bedroom 1 na Self-contained room mbili

:-Teknolojia imebadilika na ujenzi pia umebadilika. 🏡
Leo hii nyumba ya kisasa haijengwi tu kwa kuonekana vizuri, bali inazingatia mahitaji ya teknolojia na maisha ya sasa.
Tunazingatia kwa kina:
🔌 Electrical systems za kisasa
Air condition provisions, TV setup, sound systems, lighting layout (indoor & outdoor)
🚿 Water & plumbing systems
Laundry area, washing machine setup, modern showers na water flow efficiency
🌿 Exterior & Landscaping
Muonekano wa nje unaovutia, garden layout na matumizi bora ya space ya kiwanja
🛋️ Interior Layouts
Mpangilio wa ndani unaoendana na matumizi ya kisasa, comfort na functionality
Tunajenga nyumba inayoendana na maisha ya leo — smart, efficient na yenye thamani ya muda mrefu.
Usijenge nyumba ya zamani kwenye dunia ya kisasa.
📩 Inbox / WhatsApp: 0715 886 725 kwa ushauri na design yako.

30/07/2026

Site Visit & Construction Consultancy

For professional site inspections, construction guidance, and expert consultation, contact us today.

Call/WhatsApp: 0715 886 725

25/07/2026

Site visit ndiyo hatua ya kwanza ya ujenzi wenye mafanikio.
Karibu tukuhudumie #071588725

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255715886725

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ramani ZA Nyumba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ramani ZA Nyumba:

Shortcuts

Share