JPG Construction

JPG Construction KALIBU JPG CONSTRUCTION TZ
tunahusika na / uchimbaji na ujengaji wa mashimo ya choo call 0745359726

29/05/2026
04/05/2026

OFFER 👉 OFFEH 👉 OFFEH 👉 Ewe Mtanzania Nyumba Ni Choo Pata Huduma ya Ujenzi Wa Choo Cha Kisasa Kisicho Jaa Kwa Gharama Nafuu Na Rafiki Kwako Tunaptikana Kimara Mwisho Dar es salaam Pia Mikoani Tunafika.

BEI ZETU NI KWA DAR NA PWANI
>>>Kwa Shimo Moja La Round Ni Tsh 800,000/=
>>>Kwa Mashimo mawali Round Na Shimo lenye Mfumo wa Mawe Ni Tsh 1,200,000/=

KWA MIKOANI BEI ZETU NI 👇👇
>>>Kwa Shimo Moja La Round Ni Tsh 1,200,000/=
>>>Kwa Mashimo mawali Round Na Shimo lenye Mfumo wa Mawe Ni Tsh 1400,000/=

NB : MATERIAL YOTE JUU YETU WEW UTATUANDALIA HUDUMA YA MAJI TU

TUPIGIE. ☎️📞. 0745359726
Whatsapp ☎️📞. 0782015759

01/03/2025

OFFER! OFFER! Ewe mtanzania, Nyumba ni choo epuka gharama za kunyonya maji taka. Sisi ni watalam wa kuchimba na kujenga mashimo ya Vyoo Vya Kisasa visivyo jaa maji taka, kipindi chote cha matumizi yako kwa Tshs 800,000/= (Tshs 1,200,000 ukihitaji mashimo mawili Kwa pamoja; la tofari na mfumo wake wa mawe) hiyo fedha imebeba vifaa vyote kasolo
MTEJA ATUANDALIE
💦 MAJI.
SIFA ZA SHIMO
1👉Hupoteza maji taka kwa njia ya aridhi.
2👉Hutumia eneo dogo la aridhi na ni rafiki kwa mazingira.
3👉Hua na urefu ft 10 upana ft 6.
4👉Hata iwe sehemu yenye changamoto ya chem chem za maji inafanya kazi vizuri.
Nb: Offer hiyo ni kwa wakazi wa Dar es salaam na Pwani mikioni tunafika kwa offer ya Tshs 1,400,000/= ahsanteni.
☎️☎️Tupigie Simu 0782015759
WhatsApp call ☎️☎️0782015759

20/12/2024

HUDUMA YA MASHIMO YA VYOO YA KISASA
Gharama ni sh 850,000/=kwa shimo mmoja, kwa mashimo mawili la tofali na la mawe ni1200000 vifaa vyote ni juu yetu vinavyohusiana na karo la choo mteja yeye ataandaa maji.
FAlDA Hayajai Hutumii gharama nyingi na inakusaidi kuepuka gharama hapo badae Hutumia eneo dogo Ia Ardhi pia kwawakazi wa mikoani tunafika Ghalama tsh 1300,000/=
📍Dar-es-salaan mbezibeach
📞📞0745359726 au WhatsApp call 0745359726 / kalibuni 🙏
❎Ufundi bomba na chemba siuhusiki

🥰OFFER OFFER 🥰 ewe mtanzania epuka gharama ya kunyonya maji taka mala kwa mala ni mafundi tunachimba nakujenga mashimo y...
06/10/2024

🥰OFFER OFFER 🥰 ewe mtanzania epuka gharama ya kunyonya maji taka mala kwa mala ni mafundi tunachimba nakujenga mashimo ya vyoo vya kisasa kwa gharama ya Tsh900,000/= vifaa vyote,
Endapo eneo lako litaitaji mfumo wa mashimo mawili gharama yake itakua 1,200,000/=
Mteja tuandalie.
MAJI
Mikoani kote tz tunafika kwa gharama ya Tsh1,400,000/= vifaa vyote.
Kwa maelezo zaid tupigie sm 0745359726
WhatsApp call 0745359726

Ewe mtanzania mwenzetu tunapenda tukukaribishe katika ujenzi wa mashimo ya kisasa ya vyoo visivyojaa , tukujengee shimo ...
07/06/2024

Ewe mtanzania mwenzetu tunapenda tukukaribishe katika ujenzi wa mashimo ya kisasa ya vyoo visivyojaa , tukujengee shimo lisilojaa kwa gharama nafuu na rafiki kwa mazingira.

Gharama zetu kwa ujenzi wa shimo moja ni 900,000/= na kwa shimo lenye mfumo wa mawe ni 1,200,000/= kwa wateja wa mkoa wa Dar Es Salaam na pwani.

Tupigie kwa namba hizi 0782015759

Kwa wateja wa mikoa mingine yote tz tunafika kwa gharama tshs 1,400,000/= tu iyo nikila kitu kwetu mteja anatuandalia maji pamoja na sehem yakulala tupigie simu 👉☎️0782015759

Address

Mbezi Beach, Africana
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JPG Construction posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share