Jitegemee Holdings Company Ltd

Jitegemee Holdings Company Ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jitegemee Holdings Company Ltd, Mining Company, P. O. Box P. O. Box 6246, Dar es Salaam.

is a full-service mining company with corporate offices in Dar es Salaam, Tanzania, East Africa and its coal mining sites in Songea, Ruvuma Region in Mbinga District.

Karibu katika msimu mpya, msimu wa heshima kwa Wote tunaishi kwa kilimo, sisi tukilima tunavuna Mkaa, we ukilima unavuna...
31/07/2026

Karibu katika msimu mpya, msimu wa heshima kwa Wote tunaishi kwa kilimo, sisi tukilima tunavuna Mkaa, we ukilima unavuna nini?

Huu ni wakati wako, Mtanzania unaweza kuwa wakala wa Mkaa wa Jitegemee ( Jitegemee Coal Briquettes ) ukiwa popote Tanzan...
31/07/2026

Huu ni wakati wako, Mtanzania unaweza kuwa wakala wa Mkaa wa Jitegemee ( Jitegemee Coal Briquettes ) ukiwa popote Tanzania, huu ni muda wako wa kujipata, na kupata ofisi yako mwenyewe. Piga simu ili kupata utaratibu.

Furuaha imerejea Luhagala.
27/07/2026

Furuaha imerejea Luhagala.

Wananchi wa Kijiji cha Luhagala Kata ya Lutumbandyosi Wiliyani Mbinga, mkoani Ruvuma, warudishiwa tabasamu kufuatia uzin...
27/07/2026

Wananchi wa Kijiji cha Luhagala Kata ya Lutumbandyosi Wiliyani Mbinga, mkoani Ruvuma, warudishiwa tabasamu kufuatia uzinduzi wa Zahanati mpya na ya kisasa kijijini hapo, akizungumza katika uzinduzi huo Mh. Judith Salvio Kapinga Waziri wa Viwanda na Biashara ameushukuru uongozi wa Jitegemee Holdings Company Limited kwa kutambua na kutatua changamoto za wananchi wa kijiji hicho ambacho kipo karibu na sehemu zinapofanyika shuguli za Kampuni hiyo, na kuwataka wananchi kuitunza Zahanati hiyo ambayo itatatua changamoto zao za kiafya zikiwemo za Wajawazito kujifungulia nyumbani, Zahanati hiyo mpya iliyojengwa k**a kurejesha kwa jamii (CSR) programu ya Jitegemee Holdings Company Limited, imerejesha furaha kwa wanakijiji kufuatia ubovu na uchakavu wa zahanati. yao ya Zamani.

15/07/2026

Rafiki wa Mazingira, yupo Sokoni tayari kukupa 'Kampani' Jikoni
JITEGEE COAL BRIQUETTES Mkaa kidogo Mapishi mengi.

Asante kwa kuja, nifuraha yetu kukuhudumia.
14/07/2026

Asante kwa kuja, nifuraha yetu kukuhudumia.

Mkaa kidogo Mapishi mengi, suluhu ya mahitaji yako ya nishati mbadala, unawaka zaidi ya masaa manne, ni rafiki wa mazing...
11/07/2026

Mkaa kidogo Mapishi mengi, suluhu ya mahitaji yako ya nishati mbadala, unawaka zaidi ya masaa manne, ni rafiki wa mazingira
Chagua Jitegemee Coal Briquettes kujali thamani ya pesa yako.

08/07/2026

Tembelea Banda letu la Saba Saba, kujifunza mengi zaidi na kujiunga na familia ya Nishati safi na kuifanya Tanzania kuwa sehemu salama.

Uongozi na watumishi wote wa Jitegemee Holdings Co.Ltd  Ina watakia sikukuu njema ya saba saba, Tusheherekee kwa Amani n...
07/07/2026

Uongozi na watumishi wote wa Jitegemee Holdings Co.Ltd Ina watakia sikukuu njema ya saba saba, Tusheherekee kwa Amani na utulivu.

Ijumaa Kuu Njema
03/04/2026

Ijumaa Kuu Njema

Address

P. O. Box P. O. Box 6246
Dar Es Salaam
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jitegemee Holdings Company Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jitegemee Holdings Company Ltd:

Shortcuts

Share

Category