Ramani, Makadirio na Ushauri - Eng. Hechy

Ramani, Makadirio na Ushauri - Eng. Hechy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ramani, Makadirio na Ushauri - Eng. Hechy, Construction Company, Dar es Salaam.

18/07/2023

NILU NI NINI?
Nilu ni mchanganyiko wa saruji (cement) na maji.

Mchanganyiko huu hutengeneza kitu k**a uji uji ambapo huwa unatumika sehemu mbali mbali

MATUMIZI YA NILU
● Nilu hutumika sehemu zenye maji maji k**a vile kuta za mitaro, kuta za bafu/choo n.k ambapo mchanganyiko huo huzuia kuta hizo kutofyoza maji na kufanya kuta zisiloane na maji

● Nilu pia hutumika kuzuia uchafu kwenye kuta/sakafu, sehemu k**a za kutengenezea magari ambapo kunakuwa na mafuta mafuta, grisi n.k Nilu hutumika ambapo inakuwa rahisi kusafisha uchafu kwa kufuta tu na kitambaa

Unahitaji kujifunza mambo mbali mbali kuhusu ujenzi? Follow page yangu Ramani, Makadirio na Ushauri - Eng. Hechy ujifunze vitu mbali mbali

RAMANI YA VYUMBA VIWILI○ Sebule (Living room)○ Jiko (Kitchen)○ Master bedroom ○ Single bedroom○ Choo cha jumuiya Ramani ...
18/07/2023

RAMANI YA VYUMBA VIWILI
○ Sebule (Living room)
○ Jiko (Kitchen)
○ Master bedroom
○ Single bedroom
○ Choo cha jumuiya

Ramani inakuwa na
○ Foundation plan (1)
○ Floor plan (1)
○ Elevation plans (4)
○ Roof plan (1)
○ Document ya Makadirio ya vifaa vyote vya ujenzi

Bei Tsh. 100,000/=
+255(0)624068809

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ramani, Makadirio na Ushauri - Eng. Hechy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share