Tapshareland

Tapshareland Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tapshareland, Mining Company, 55068 Kiluvya madukani, Dar es Salaam.

Permanently closed.
03/09/2026
Je?! una SHAMBA, KIWANJA, ama NYUMBA; UNAUZA?! chochote kile kilicho halali kinyaraka za umiliki wako kisicho na mgogoro...
06/08/2026

Je?! una SHAMBA, KIWANJA, ama NYUMBA; UNAUZA?! chochote kile kilicho halali kinyaraka za umiliki wako kisicho na mgogoro (kesi) wala utapeli (udanganyifu) kipo mkoa wowote ndani ya serikali ya TANZANIA unahitaji huduma ya KUUZIWA mali yako hiyo kutokana na changamoto mbalimbali za mahitaji ya kimaisha kiuchumi waswahili husema kimfaacho mtu chake usisite kuwasiliana nasi and mining solution company limited ni kampuni bora ya udalali nchini inayoongoza kwa kuaminika, udalali ulionyooka yenye wateja wengi na inayofuatiliwa na watu wengi wafuasi zaidi ya milioni moja mitandaoni instagram, Facebook, TikTok, & WhatsApp

Uonapo/usikiapo tangazo hili usisite kumtaarifu mwezio mwenye uhitaji wa huduma hii ya uhakika ama ni wewe pia tutumie ujumbe WhatsApp +255676086194 andika naomba utaratibu wa kuuza; Shamba, kiwanja au nyumba chochote katiyavyo unachohitaji tukuuzie kwa matangazo yenye ubora ubunifu mkubwa na tuna tunakuhakikishia kuuza kwa haraka 💯✅

Jambo la msingi hakikisha kabla haujatutafuta biashara yako haina vitu viwili mgogoro (kesi) wala utapeli (udanganyifu) ili kuokoa muda wetu kwani tunalinda imani, uaminifu na heshma tulopewa na watanzania wateja wetu kwa brand yetu and mining solution company limited tasnia ya udalali Tanzania "Isaya 23;18 🕊️

Address

55068 Kiluvya Madukani
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tapshareland posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category