01/06/2021
ENG:_Electric wiring in a building is an agreement between a registered contractor and the person who needs to do the wiring (relevant client), TANESCO is not part of that agreement!
KISW:_Je gharama za kufanya wiring (kusambaza mtandao wa nyaya ndani ya nyumba) zinakuaje?
Hii ni makubaliano baina na mkandarasi aliyesajiliwa na mwenye uhitaji wa kufanya wiring (mteja husika),TANESCO sio sehemu ya makubaliano hayo.
T&T ELECTRIC Co. tupo kwa ajili ya kuteng'eneza mfumo wa kisasa wa umeme wa nyumba yako!