10/11/2022
Ulimwengu wa rakadha, umejaa hitilafu,
Sikuweza mambo kadha: karibu mambo elfu.
Kunipa hii karadha, Bwana Mungu namsifu,
Alhamdulillahi namshukuru Latifu.....Kheri ya kumbukizi ya Kuzaliwa 🙏