dpro-design.

dpro-design. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from dpro-design., Metal Fabricator, Kigamboni, Dar es Salaam.

DPRO DESIGN 🛠️
Mtaalamu wa: Pergola • Gazebo • Alucobond
Milango & Mageti ya Chuma • Dirisha Aluminium
Kazi safi • Bei haki • Muda muafaka
📍 Dar es Salaam, TZ
📞 DM/WhatsApp:0717002072

20/07/2026

Pendezesha flame yako ama dukalako kwamuonekano mzuri wa alucobond usio pauka tajiri tucheki sasa☎️0615652787
Au WhatsApp https://wa.me/Dpro.designtz

07/07/2026

Kwamaitaji ya alucobond Aluminium, milango na madilisha, pia kazizote za chuma tunazifanya kwausafi wahali yajuu karibu kwauduma safi
☎️0717002072

19/06/2026

Kwageti nzuri nazakisasa ☎️:0717002072
Tunakufikia Tajiri dpro-design. AthensMagazine.gr

Tupo dar pia mikoa yote Tanzania nzima tunakufikia. ☎️WhatsApp 0717 002 072
19/06/2026

Tupo dar pia mikoa yote Tanzania nzima tunakufikia. ☎️WhatsApp 0717 002 072

Duka lako linavutia wateja? Hili ndio siri yake 💯Tunafunga ACP Cladding rangi zoote pia milango ya vioo vya aluminium kw...
18/06/2026

Duka lako linavutia wateja? Hili ndio siri yake 💯

Tunafunga ACP Cladding rangi zoote pia milango ya vioo vya aluminium kwa mteja wetu. Inangaa mchana, inawaka usiku. Biashara inaonekana ya kisasa.

Faida
1. Haipati kutu/rust
2. Inasafika rahisi
3. Inaongeza thamani ya duka mara 2

Unataka duka/clinic fremu zako ziwe namuonekano wa hivi?
Tuma chek WhatsApp 👉 0717 002 072 nikupe design + bei

18/06/2026

Pergola ya kisasa ✅
Haingizi jua ☀️ kali, haingizi mvua💦⛈️✅
Inaongeza uzuri + thamani ya nyumba yako ✅

Tunatengeneza kwa mabati ya IBR 28 gauge + mabomba mazito. Dhamana miaka 💯

Unataka ya kwako ikae hivi?
Piga/WhatsApp sasa: 0717002072

18/06/2026

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when dpro-design. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share