Kobil Tanzania Limited

Kobil Tanzania Limited - Oil Marketing Company (OMC)

- Authorized Distributor of OLA and Mobil Lubricants Tanzania.

Chapa OLA ENERGY, Jipatie bidhaa bora kutoka kwetu k**a DeoMax 15W40, Accel 20w50, Hydrol 68, Hydrol 46, Lubix Greace,Br...
25/01/2023

Chapa OLA ENERGY, Jipatie bidhaa bora kutoka kwetu k**a DeoMax 15W40, Accel 20w50, Hydrol 68, Hydrol 46, Lubix Greace,Brake fluid, ATF, . Bidhaa hizi zipo kwa ujazo tofauti tofauti kutegemea na matumizi yako ya Kiwanda, Gari, Kilimo, Boti na nyinginezo.
Tupigie sasa kwa maelezo zaidi
+255 222 700 670
+255 222 700 670
+255 222 700 670

Je ungependa kufahamu zaidi kuhusu Coolant yetu? Wacha nikuhabarishe Coolant imetengenezwa kwa teknolojia ya Ujerumani,F...
23/01/2023

Je ungependa kufahamu zaidi kuhusu Coolant yetu? Wacha nikuhabarishe
Coolant imetengenezwa kwa teknolojia ya Ujerumani,
Faida za Coolant yetu ni nini?
1. Kupunguza kiwango cha joto kinachozidi
2. Huzuia kutu
3. Inaubora uliothibitishwa
4. Inalinda rejeta
5. Imechanganywa tayari kwa matumizi (usiongeze maji)

Tupigie sasa kwa maelezo zaidi
+255 222 700 670
+255 222 700 670
+255 222 700 670

Viwango vya mafuta vipo katika mfumo wa Herufi na namba ili kuonyesha vitu maalum. Labda tutolee mfano wa '15W-40". “15”...
20/01/2023

Viwango vya mafuta vipo katika mfumo wa Herufi na namba ili kuonyesha vitu maalum.
Labda tutolee mfano wa '15W-40".
“15” Hii huonyesha kiwango cha Nyuzi joto cha chini ambacho kinatakiwa, ili kilainishi hiki kiweze kufanya kazi vizuri.
“W” Hii husimama badala ya “Winter”
“40” Hii huonyesha jinsi gani mafuta yatapita vizuri katika kiwango cha nyuzi joto 40.
Kadri namba inavyozidi kuwa ndogo ndivyo kiwango cha uzito wa mafuta huzidi kuwa chepesi.
Mafuta membamba hutiririka haraka kuliko mazito na watengenezaji hubuni injini tofauti tofauti za kufanya kazi na daraja Fulani au aina Fulani ya mafuta. Hii inamaanisha 15w40 itakua na mtiririko mzuri kuliko 20w40 wakati wa kipindi cha joto.

Furahia safari yako na Accel 20W50 ,ubora wa bidhaa hii unaifanya injini kuwa imara muda wote na kukupa matokeo mazuri. ...
18/01/2023

Furahia safari yako na Accel 20W50 ,ubora wa bidhaa hii unaifanya injini kuwa imara muda wote na kukupa matokeo mazuri. Tumia Accel 20W50 uondokane na mawazo ufurahie utendaji kazi wa injini masaa 24. Punguza ulaji wa mafuta kwa kutumia ACCEL 20W50.

Tupigie sasa kwa maelezo zaidi
+255 222 700 670
+255 719 181 286.

Je umeshatumia bidhaa yetu ya DeoMax 15w-40? Je unajua faida za kutumia oil hii bora? Leo nakupa siri, Kwanza kilainishi...
16/01/2023

Je umeshatumia bidhaa yetu ya DeoMax 15w-40? Je unajua faida za kutumia oil hii bora?
Leo nakupa siri, Kwanza kilainishi hiki ni kwa matumizi ya injini ya dizeli chenye ufanisi wa hali ya juu kwa injini zenye TURBO na zisizo TURBO. Hupunguza ulaji wa mafuta.

Tupigie sasa kwa maelezo zaidi
+255 222 700 670
+255 719 181 286.

Je wewe hupendelea kutumia Oil gani kwa matumizi ya gari lako? Tujuze sasa na ubahatike kushinda zawadi nzuri kutoka kwe...
13/01/2023

Je wewe hupendelea kutumia Oil gani kwa matumizi ya gari lako? Tujuze sasa na ubahatike kushinda zawadi nzuri kutoka kwetu weekend hii.

Furahia safari yako na Accel 20W50 ,ubora wa bidhaa hii unaifanya injini kuwa imara muda wote na kukupa matokeo mazuri. ...
09/01/2023

Furahia safari yako na Accel 20W50 ,ubora wa bidhaa hii unaifanya injini kuwa imara muda wote na kukupa matokeo mazuri. Tumia Accel 20W50 uondokane na mawazo ufurahie utendaji kazi wa injini masaa 24. Punguza ulaji wa mafuta kwa kutumia ACCEL 20W50.

Tupigie sasa kwa maelezo zaidi
+255 222 700 670
+255 719 181 286.

Inashauriwa kubadili oil kila baada ya maili 5000 – 10,000 Km, Inategemea na hali ya gari na kasi. Tunaamini kuwa kubadi...
06/01/2023

Inashauriwa kubadili oil kila baada ya maili 5000 – 10,000 Km, Inategemea na hali ya gari na kasi. Tunaamini kuwa kubadilisha Injini Oil ni mojawapo ya matengenezo mazuri ili kudumisha gari lako pendwa.
Namna Injini Oil hufanya kazi kwenye gari yako
- Kupunguza msuguano kati ya Silinda na Pistoni.
- Kupunguza joto
- Kupunguza uchafu na chembechembe ndogo ndogo zinazoweza kusababisha athari kwenye gari lako.
- Kuzuia kutu.
Tuna Engine oil bora kabisa za Petrol Engine na Diesel Engine.
Tupigie sasa kwa maelezo zaidi
+255 222 700 670
+255 719 181 286.
es salaam

Je umeshatumia bidhaa yetu ya DeoMax 15w-40? Je unajua faida za kutumia oil hii bora? Leo nakupa siri, Kwanza kilainishi...
04/01/2023

Je umeshatumia bidhaa yetu ya DeoMax 15w-40? Je unajua faida za kutumia oil hii bora?
Leo nakupa siri, Kwanza kilainishi hiki ni kwa matumizi ya injini ya dizeli chenye ufanisi wa hali ya juu kwa injini zenye TURBO na zisizo TURBO. Hupunguza ulaji wa mafuta.

Tupigie sasa kwa maelezo zaidi
+255 222 700 670
+255 719 181 286.

Uongozi wa Kobil Tanzania Limited Unapenda kuwatakia Heri ya sikuu ya Krismasi na mapumziko mema.
25/12/2022

30/11/2022

Je umeshatumia bidhaa yetu ya DeoMax 15w-40? Je unajua faida za kutumia oil hii bora?
Leo nakupa siri, Kwanza kilainishi hiki ni kwa matumizi ya injini ya dizeli chenye ufanisi wa hali ya juu kwa injini zenye TURBO na zisizo TURBO. Hupunguza ulaji wa mafuta.
Bidhaa hii inapatikana kwa Ujazo wa lita1, lita 5 na lita 20.

Tupigie sasa kwa maelezo zaidi
+255 222 700 670
+255 719 181 286.

Address

P. O. Box 16351, Plot No 19, Delina Plaza
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kobil Tanzania Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kobil Tanzania Limited:

Share