20/10/2026
Kuna siku utagundua huo sio wimbo wa mapenzi Bali ni mtu anajuta kwa maamuzi mabovu aliyofanya katika mambo yaliyo ndani ya uwezo wake
Fundi sio Muuza spea
Dereva sio Muuza spea.
Kuwapa jukumu hilo ni sawa na kuwafungulia biashara ndani ya Magari Yako.
Sasa jiulize, Spea za Malori yangu Huwa nanunua wapi??
K**a unae fundiwa Lori, Dereva wa Lori, kwanini Huna supplier wa Spea za Malori yako.
Karibu Sneedautoparts tunazo spea zitakazokuhakikishia uimara wa Lori Lako, Popote litakapo kuwa.
📍 Tunapatikana Tabata Dampo, Mamba Street
Mawasiliano: +255655779932