29/06/2026
Badilisha maisha yako kwa kutumia SolarVista Solar Water Heater na ufurahie maji ya moto bila gharama za umeme, kwa kutumia nguvu za jua.
✅ Inapatikana katika uwezo mbalimbali (100L – 300L)
✅ Bei nafuu na rafiki kwa mazingira
✅ Maji ya moto muda wote
✅ Dhamana ya miezi 24 (Miaka 2)
Solar Water Heater za Vacuum Tube
• 100L – Tsh 850,000
• 150L – Tsh 1,000,000
• 200L – Tsh 1,500,000
• 300L – Tsh 2,000,000
Solar Water Heater za Vacuum Tube High Pressure
• 150L – Tsh 2,000,000
• 200L – Tsh 3,000,000
• 300L – Tsh 3,800,000
📍 Tunapatikana Mwenge, Dar es Salaam.
📞 Kwa maelezo zaidi au kuagiza:
WhatsApp/Simu: +255 674 677 508
SolarVista – Suluhisho la Maji ya Moto kwa Nguvu ya Jua.