Dubex Gas Cookers

Dubex Gas Cookers ■WATENGENEZAJI NA WAUZAJI MAJIKO MBALIMBALI YATUMIAYO GAS KWA;
●Majumbani
●Shuleni
●Hotelini
●Vibanda vya chips n.k
■TUNAUZA NA KUSAMBAZA GAS.

03/06/2026
02/06/2026

Biashara ni vifaa! Kasi ndio siri ya kuwazidi washindani wako. 😉

​Usipoteze muda kupika chapati moja moja. Hili hapa Jiko la Chapati 4 na Meza yake—vifaa imara vinavyofanya kazi yako iwe rahisi na yenye muonekano wa kitaalamu.

​🚚 Tunatuma mikoani kote kwa uaminifu mkubwa. Wale wa Dar es Salaam, tunapatikana Kinondoni!
​💬 Mzigo ni mchache, wahi la kwako sasa! Piga/WhatsApp: +255 766 666 640



25/05/2026

Nyuma ya kila jiko bora la , kuna kazi kubwa ya ubunifu, umakini na ustadi wa hali ya juu! 🔥
​Hivi ndivyo mafundi wetu mahiri kutoka idara ya Dubex Creative Weld Works wanavyoweka nguvu na akili kuhakikisha unapata jiko imara, salama na la kisasa kwa ajili ya matumizi yako.

Hatutengenezi majiko tu, tunatengeneza suluhisho la kudumu la mapishi yako.

Kwa Majiko Bora ya Gas na Mkaa
Tupigie [0766 666 640].

25/05/2026

Kazi imekamilika, oven limekaguliwa na limefungashwa kisawasawa tayari kwa safari ya kuelekea Katavi kwa mteja wetu!

​Tunajua thamani ya uwekezaji wako, ndio maana tunachukua umakini wa 100% kuhakikisha oven linafika likiwa tayari kwa kazi. Popote ulipo Tanzania, oda yako inakufikia.

​👉 Agiza la kwako leo: DM au Piga [0766 666 640].

22/05/2026

Hatutumi tu majiko, tunatuma ubora unaoenda kurahisisha biashara yako!

​Hapa tunafanya majaribio ya Jiko la Chapati 6 na Jiko la Mandazi Lita 10—yote yanatumia Gas na yapo tayari kwa kazi.

Tayari yamefungashwa salama na kukabidhiwa kwenye mabus kwa ajili ya usafiri.

​Unasubiri nini na wewe kuboresha jiko lako? Tupo hapa kwa ajili yako!
​💬 Mawasiliano: [255766 666 640] / DM

20/05/2026

Majiko haya yataweza kumfanya Mteja Wetu kusukuma kazi za Upishi Kwa haraka zaidi.
Hivi ndivyo tunavyowahudumia wateja wetu wa ma jiko hapa dubexcookers.

Quality ya Dubex Cookers ipo tofauti.
Wateja wa Mikoani Majiko Tunayatuma Kwa Uaminifu Mkubwa Sana.
📲 Tupigie; 0766 666 640



13/05/2026

🔥 Ubora ndio Kipaumbele chetu!

Kabla ya jiko kuondoka kwaajili ya delivery ya mteja wetu wa mkoani, lazima lipitie hatua zote za testing kuhakikisha linafanya kazi kwa ufanisi mkubwa 💯🔥
Kutoka kwenye maandalizi, ukaguzi mpaka kufungwa vizuri tayari kwa safari 🚚📦 — Dubex Cookers tunaamini mteja anastahili kupata bidhaa yenye quality ya uhakika.

Asante kwa kuendelea kutuamini kwenye utengenezaji wa cookers za kisasa, imara na zenye matumizi bora ya nishati 👨‍🍳🔥

📍 Tunatengeneza kwa oda
📞 Wasiliana nasi 0766 666 640

16/04/2026

“Kutoka Dar hadi Musoma 🔥
Jiko la Chapati 6 kutoka Dubex Cookers tayari limefika kwa mteja wetu salama kabisa! 💯
Tuna-deliver popote Tanzania 🇹🇿
Agiza lako leo uongeze kasi ya biashara yako! 🚀

Tupigie 📲 +255 766 666 640
Uanze Kukuza Bishara yako leo


16/04/2026
Biashara ni hesabu, na hesabu za chapati zinalipa zaidi ukitumia gesi! 🔥🫓​Swipe kupata darasa fupi la namna ya kuboresha...
03/04/2026

Biashara ni hesabu, na hesabu za chapati zinalipa zaidi ukitumia gesi! 🔥🫓

​Swipe kupata darasa fupi la namna ya kuboresha upishi wako wa chapati kibiashara. Tunakuonesha mbinu za kisasa za kuokoa muda na nishati.

​Kumbuka, injini ya biashara yako ni jiko bora. Pata majiko yako ya kisasa hapa Dubex Cookers. Ubora unaoonekana kwenye kila chapati!



Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 22:00
Tuesday 08:00 - 22:00
Wednesday 08:00 - 22:00
Thursday 08:00 - 22:00
Friday 08:00 - 22:00
Saturday 08:00 - 22:00
Sunday 08:00 - 22:00

Telephone

0766666640

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dubex Gas Cookers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dubex Gas Cookers:

Shortcuts

Share