JIASU TRADE

JIASU TRADE We are supplying quality Machines, Equipment and Tools for Construction, Mining, Industrial and Home

26/08/2026

MASHINE ZINAKUFIKIA POPOTE ULIPO!
Tunakuletea mashine bora za ujenzi zenye ubora wa hali ya juu k**a:
πŸ‘‰ Water Pump
πŸ‘‰ Concrete Mixer
πŸ‘‰ Bar Bender
πŸ‘‰ Bar Cutter
πŸ‘‰ Generator
πŸ‘‰ Plate Compactor
πŸ‘‰ Float Trowel Machine
πŸ‘‰ Concrete Vi****or
πŸ‘‰ Na vifaa vingine vingi vya ujenzi
Ubora uliothibitishwa
Huduma ya ushauri wa kitaalamu

Mashine zinakufikia popote ulipo

Rahisisha kazi zako za ujenzi kwa mashine imara na zenye kudumu muda mrefu. Weka oda mapema

πŸ“ž Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na bei: 0766977578
Generator PlateCompactor Tanzania HudumaNchiNzima

26/08/2026

DOUBLE DRUM ROLLER FVR-650D – NGUVU, UBORA NA COMPACTION YA KIWANGO CHA JUU! πŸ’ͺ
Unatafuta Double Drum Roller imara na yenye nguvu kwa kazi za kusawazisha na kugandamiza maeneo ya ujenzi? Hii ni chaguo sahihi! πŸ”₯
πŸ‘‰ Model: FVR-650D – imeundwa kwa kazi za compaction zenye ufanisi
πŸ‘‰ Engine: Diesel/Petrol – nguvu na utendaji bora kazini
πŸ‘‰ Roller Size: 650 Γ— 426mm – kwa coverage nzuri wakati wa kazi
πŸ‘‰ Weight: 530kg – imara kwa kazi mbalimbali za compaction
πŸ‘‰ Centrifugal Force: 25kN – hutoa nguvu kubwa ya kugandamiza
πŸ‘‰ Double Drum Design – inasaidia kusawazisha na kugandamiza kwa ufanisi zaidi
πŸ‘‰ Inafaa kwa maeneo mbalimbali – barabara, parking, misingi na miradi mingine ya ujenzi
πŸ’― Kila mashine inatestiwa kabla ya kukabidhiwa kwa mteja, kuhakikisha iko katika hali nzuri na tayari kwa matumizi.
πŸ”₯ Nguvu ya kuaminika. Compaction bora. Matokeo ya kitaalamu!
πŸ“ž Wasiliana nasi leo: 0766 977 578
πŸ“ TIANPENG INTERNATIONAL COMPANY LIMITED
RoadConstruction CompactionMachine ConstructionEquipment TianpengInternational QualityYouCanTrust

25/08/2026
24/08/2026

πŸ”₯ DOUBLE DRUM PEDESTRIAN ROLLER – NGUVU, UBORA NA UFANISI! πŸ”₯
BADO ZINAPATIKANA!
Unatafuta roller imara na yenye ufanisi kwa kazi za ujenzi na compaction? Double Drum Pedestrian Roller ni chaguo sahihi kwa kazi zako!
βœ… Diesel Engine 6KW – nguvu kubwa na matumizi bora ya mafuta
βœ… Double Drum – hubana na kusawazisha udongo kwa ufanisi mkubwa
βœ… Inafaa kwa barabara, parking, sidewalks na pathways
βœ… Rahisi kutumia – muundo rafiki kwa operator
βœ… Imara na inadumu – kwa matumizi ya muda mrefu
βœ… Inafaa kwa wakandarasi, manispaa na makampuni ya ujenzi
πŸ’ͺ Ongeza ubora wa kazi, punguza muda wa ujenzi na boresha ufanisi wa kazi zako!
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0766 977 578
TIANPENG International Company Limited
ConstructionEquipment UjenziBora Tianpeng

21/08/2026

πŸ”₯ DIESEL CONCRETE MIXER 400L – NGUVU NA UFANISI KWA KAZI ZA UJENZI! πŸ”₯
πŸ‘‰ Diesel Engine yenye nguvu – inafanya kazi kwa ufanisi na inafaa kwa maeneo mbalimbali ya ujenzi
πŸ‘‰ Capacity 400L – uwezo mzuri wa kuchanganya cement, mchanga, kokoto na maji kwa haraka
πŸ‘‰ Mixing yenye ufanisi – husaidia kupata mchanganyiko wa concrete ulio sawa na wenye ubora
πŸ‘‰ Imara & Inadumu – imetengenezwa kwa vifaa imara kwa matumizi ya muda mrefu
πŸ‘‰ Rahisi kutumia – muundo unaorahisisha uendeshaji na usafirishaji kwenye site
πŸ‘‰ Inafaa kwa miradi mbalimbali – nyumba, misingi, slabs, barabara na kazi nyingine za ujenzi
πŸ’ͺ NGUVU, UBORA & UFANISI – KWA KAZI BORA ZA UJENZI!
Ubora unaanza kabla ya mashine kufika kwa mteja!
Kila mashine inapitia testing kabla ya kukabidhiwa ili kuhakikisha inafanya kazi vizuri na iko tayari kwa matumizi.
πŸ“ž Wasiliana nasi leo: 0766 977 578
πŸ”₯ Pata Diesel Concrete Mixer 400L yako kwa bei nzuri!
TIANPENG INTERNATIONAL COMPANY LIMITED
ConstructionEquipment ConcreteMixing TianpengInternational QualityYouCanTrust

21/08/2026

DIESEL PLATE COMPACTOR – NGUVU HALISI KWA KAZI ZA UJENZI
πŸ‘‰ Diesel Engine yenye nguvu – matumizi yenye ufanisi na utendaji bora
πŸ‘‰ Nguvu kubwa ya kugandamiza – kwa udongo na maeneo yanayohitaji compaction imara
πŸ‘‰ Imara & Inadumu – imetengenezwa kwa vifaa vya ubora kwa matumizi ya muda mrefu
πŸ‘‰ Rahisi kutumia – muundo rafiki kwa mafundi na wakandarasi
πŸ‘‰ Inafaa kwa maeneo mbalimbali – barabara, misingi ya nyumba, maeneo ya maegesho na kazi nyingine za ujenzi
Ubora unaanza kabla ya mashine kufika kwa mteja!
Kila mashine inapitia testing kabla ya kukabidhiwa ili kuhakikisha inafanya kazi vizuri na iko tayari kwa matumizi.
πŸ“ž Wasiliana nasi leo: 0766 977 578
πŸ”₯ Pata Diesel Plate Compactor yako kwa bei nzuri!
TIANPENG INTERNATIONAL COMPANY LIMITED
ConstructionEquipment CompactionMachine TianpengInternational QualityYouCanTrust

20/08/2026

πŸ”₯ CONCRETE MIXER MACHINES ZA AINA MBALIMBALI ZINAPATIKANA! πŸ”₯
πŸ‘‰ Unatafuta Concrete Mixer yenye uwezo mkubwa, imara na yenye ufanisi kwa ajili ya kuchanganya cement, mchanga, kokoto na concrete kwa haraka na kwa usawa?
TIANPENG International Company Limited inakuletea Concrete Mixer za aina mbalimbali, kulingana na mahitaji ya mradi wako!
βœ… 550L Electric Concrete Mixer – kwa matumizi ya umeme na miradi mbalimbali ya ujenzi
βœ… 550L Diesel Concrete Mixer – chaguo bora kwa maeneo ambayo hayana umeme
βœ… 700L Electric Concrete Mixer – capacity kubwa kwa uzalishaji wa concrete
βœ… 800L Electric Concrete Mixer – kwa miradi yenye mahitaji makubwa ya concrete
βœ… 800L Diesel Concrete Mixer – yenye nguvu na suitable kwa construction sites
βœ… Twin Shaft Concrete Mixer JS500 – kwa mixing yenye nguvu na ufanisi mkubwa
βœ… Twin Shaft Concrete Mixer JS750 – kwa uzalishaji mkubwa wa concrete
πŸ’ͺ Kwa nini uchague Concrete Mixers zetu?
βœ… Kila mashine hukaguliwa na kutestiwa kabla ya kukabidhiwa kwa mteja kuhakikisha iko tayari kwa matumizi
πŸ”₯ CONCRETE MIXER ZA AINA MBALIMBALI BADO ZINAPATIKANA! πŸ”₯
Usisubiri hadi mradi wako uchelewe β€” chagua Concrete Mixer inayokidhi mahitaji ya kazi yako.
πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0766 977 578
TIANPENG International Company Limited
πŸ”₯ OFERTA MAALUM ZINAPATIKANA! πŸ”₯
JS750 ConcreteMixer550L ConcreteMixer700L ConcreteMixer800

Address

Mbuyuni Mbezi Beach
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JIASU TRADE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share