22/05/2026
⚡ POWERGRID ENGINEERING CO. LTD
Tumefunga Hybrid Solar System ya 6KW kwenye Residential House – Kibamba, DSM ☀️🏠
🔋 Mfumo umefungwa na: ✅ Battery Storage 5KWH ✅ Solar Panels 585W × 8PCS ✅ Air Condition 18,000 BTU ✅ Oxygen Machine 1KW ✅ TV 2 ✅ Taa za nyumba nzima
Mfumo huu unatoa: ✔️ Backup ya uhakika TANESCO ikikatika ✔️ Kupunguza gharama za umeme ✔️ Umeme wa uhakika mchana na usiku ✔️ Mfumo salama na wa kisasa kwa matumizi ya nyumbani
Tunafunga: ☀️ Hybrid Solar Systems ☀️ Offgrid Systems ☀️ Backup Systems ☀️ Solar Water Pumps
📞 Wasiliana nasi kwa quotation na site visit.