Jambo Plastics Africa

Jambo Plastics Africa Kiwanda cha uzalishaji wa bidhaa za plastiki Tanzania

📍NYERERE ROAD, Vingunguti, Dar es Salaam

Piga : 0754229452 / 0754229420

Mtungi Jug ndio chaguo sahihi kwa matumizi ya nyumbani, ofisini au kwenye hafla mbalimbali.✔ Muundo wa kisasa na wa kuvu...
02/06/2026

Mtungi Jug ndio chaguo sahihi kwa matumizi ya nyumbani, ofisini au kwenye hafla mbalimbali.

✔ Muundo wa kisasa na wa kuvutia
✔ Imara na hudumu kwa muda mrefu
✔ Rahisi kutumia na kusafisha
✔ Bora kwa kuhifadhi na kumimina vinywaji

Pata Mtungi Jug leo na ufurahie ubora unaokidhi mahitaji yako!

Pata Imara Cup – suluhisho lako la kila siku!Kikombe bora chenye ubora wa hali ya juu, muonekano wa kuvutia na uimara wa...
02/06/2026

Pata Imara Cup – suluhisho lako la kila siku!

Kikombe bora chenye ubora wa hali ya juu, muonekano wa kuvutia na uimara wa kudumu. Kinapatikana kwa rangi mbalimbali za kupendeza zinazoongeza mvuto nyumbani, ofisini au popote ulipo.

✔ Imara na hudumu kwa muda mrefu
✔ Muonekano wa kisasa na wa kuvutia
✔ Rangi mbalimbali za kupendeza
✔ Bora kwa matumizi ya kila siku

Chagua Imara Cup leo na furahia ubora unaostahili!

🌟 OVAL TROLLEY IMARA 🌟Unatafuta trolley yenye ubora na muonekano wa kuvutia? Oval Trolley yetu ni chaguo sahihi!✅ Imara ...
01/06/2026

🌟 OVAL TROLLEY IMARA 🌟

Unatafuta trolley yenye ubora na muonekano wa kuvutia? Oval Trolley yetu ni chaguo sahihi!

✅ Imara na yenye kudumu
✅ Ina sehemu nyingi za kuhifadhia vitu
✅ Muundo wa kisasa na wa kuvutia
✅ Inapatikana katika rangi mbalimbali nzuri na za kupendeza
✅ Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, ofisini au dukani

Pata Oval Trolley leo na uongeze urahisi pamoja na mwonekano mzuri katika nafasi yako!

📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na bei.0754 229 452

Zanzibar huru milele tunajivunia historia na utamaduni wetu.
12/01/2026

Zanzibar huru milele tunajivunia historia na utamaduni wetu.

Ni BENTO SUPA kwajili ya matumizi yako ya numbani ofisini kwa wale mnaobeba chakula hii Sasa kwajili yako tupigie simu k...
10/01/2026

Ni BENTO SUPA kwajili ya matumizi yako ya numbani ofisini kwa wale mnaobeba chakula hii Sasa kwajili yako tupigie simu kwa namba zifuatazo.

0754 229 452
0754 229 420

Bila ya kumsahau mtoto tumewaletea TOTO KIBOKO POTTY ukiwa k**a mzazi hakikisha hukosi nyumbani kiboko potty 0754 229 45...
10/01/2026

Bila ya kumsahau mtoto tumewaletea TOTO KIBOKO POTTY ukiwa k**a mzazi hakikisha hukosi nyumbani kiboko potty

0754 229 452
0754 229 420

SUPA TROLLEY kwajili ya matumizi mbali mbali ya nyumbani, hotel, saloon n.k unaweza kuhifadhia bidhaa mbali mbali bidhaa...
10/01/2026

SUPA TROLLEY kwajili ya matumizi mbali mbali ya nyumbani, hotel, saloon n.k unaweza kuhifadhia bidhaa mbali mbali bidhaa za Kitanzania 🇹🇿

0754 229 452
0754 229 420

Bidhaa imara na muonekano mzuri SUPA MUG kwajili ya matumizi mbali mbali nyumbani,shuleni gengeni n.k karibu kiwandani k...
10/01/2026

Bidhaa imara na muonekano mzuri SUPA MUG
kwajili ya matumizi mbali mbali nyumbani,shuleni gengeni n.k karibu kiwandani kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba zifuatazo

0754 229 452
0754 229 420

Pumzika katika garden yako ukiwa na kiti chako pendwa MLIMA CHAIR kizuri kimuonekano na kwa uimara karibu katika kiwanda...
08/01/2026

Pumzika katika garden yako ukiwa na kiti chako pendwa MLIMA CHAIR kizuri kimuonekano na kwa uimara karibu katika kiwanda chetu kwa kuona bidhaa zaidi kwa Bei nafuu kabisa❤️

Mawasiliano yetu:👇🏼

0754 229 420
0754 229 452

HERI YA MWAKA MPYA  TUNAWATAKIA MWAKA WENYE BARAKA FURAHA AMANI NA UPENDO❤️
31/12/2025

HERI YA MWAKA MPYA TUNAWATAKIA MWAKA WENYE BARAKA FURAHA AMANI NA UPENDO❤️

Address

Nyerere Road, Vingunguti
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jambo Plastics Africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share