JB Energy

JB Energy Energise Your Move

UBUNGO PLAZA 5th Floor

04/11/2024

OFAAA OFAAAAAA OFAAAAA
TUNAFUNGA GAS KWENYE MAGARI ya petroli kwa mkoa wa dar es Salaam TU kwa utaalamu wa hali ya juu unaofanywa na wahandisi wa magari na kuifanya gari yako kutembea bila gharama kubwa za mafuta na utaokoa asilimia 75% za OFAAA YA Gharama za ufungaji mfumo ni kulingana na ukubwa wa mtungi na aina ya gari

BEI : MILLION 2 kwa mtungi wa kilo 15
MILLION 1.8 Kwa mtungi wa kilo 11
MILLION 1.7 kwa mtungi wa kilo 9

MKOPO UPO!!!!!!

N.B: Lakini gari kubwa k**a Prado, hilux na yenye SIX CYLINDER Bei ni milion 2.2

MAKADILIO YA UMBALI cc 1200 hadi 1400
Kg 15 inatembea km 230
Kg 11 unatembea km 180
Kg 9 inatembea km 120
NOTE: Huu umbali unatofautiana kulingana na cc za engine yako lakini gas itakusave kwa asilimia 75% ya umbali na gharama za mafuta

PIA KUMBUKA GAS KILO 1 NI SHILINGI 1550 Tu
Ukifunga gas kwenye gari haimaanishi mfumo wa zamani wa mafuta unaondoka hapana!! Ila unakuwepo na ukiamua kuswitch unaswitch mwenyewe kwamba sasa nataka kutumia mafuta au sasa nataka kutumia gas
Sisi tuna iset gari iji switch automatically kwenda kwenye gas ikifika r.p.m kadhaa za silence.

Pia ukifunga gas kwenye gari yako utaifanya engine yako kuishi maisha marefu zaidi kwa kuwa gas ni clean zaidi ya mafuta hivo inachomwa vizuri na inasaidia kutunza mazingira kwa sababu inafanya complete combustion
WARRANTY MIEZI 6
KUMBUKA hii system ukifunga inakuwa ni ya kwako hivo ukiuza gari unaweza ukaitoa na kufunga kwenye gari lingine utakalo nunua

LOCATION: Tunapatikana UBUNGO PLAZA NDANI floor ya 5
📞 NAMBA : +255 68 234 9389
Whatsapp : 255 68 234 9389

Energise Your Move

UBUNGO PLAZA 5th Floor

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JB Energy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category