12/04/2026
πͺππππ‘ππ πͺπ π ππ¦πππ π’ π¬π πππ’π’ π¬π πππ¦ππ¦π π¬ππ¦ππ¬π’πππ π ππππ§πKA.
Siza Septic Tanks tunatoa Hudumu ya ujenzi wa mashimo ya vyoo vya kisasa kwa DAR ES SALAAM, DODOMA, MWANZA na KAHAMA.
Sifa za vyoo vya kisasa.
πNi Imara na vina ubora wa Hali ya juu.
π ujenzi wake Hutumia eneo dogo
πNi rafiki Kwa mazingira (Havitoi harufu mbaya)
π Hudumu kwa mda mrefu (si rahisi kujaa)
πVinafaa Kwa matumizi ya makanisani/ miskitini, shuleni, hospital, nyumba za kuishi n.k
πVinafaa maeneo yote yaani sehemu za kichanga, mfinyanzi, n.k
Vyoo hivi hujengwa Kwa kutumia mifumo miwili.
1. SEPTIC TANK SYSTEM
Huu ni mfumo ambao hutumia shimo moja na ujenzi wake Hutumia tofali.
2. BIODIGESTER SYSTEM.
Huu ni mfumo ambao hutumia mashimo mawili, shimo moja hujengwa Kwa tofali na lingine Kwa mawe.
NB. Gharama zote za vifaa ni ndani ya bei elekezi kutokana na eneo ulilopo.
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM, DODOMA, MWANZA na KAHAMA.
Tupigie kwa namba 0740283139