10/01/2026
Sifa za mashimo ya maji taka ya kisasa
👉Ni Imara na vina ubora wa Hali ya juu.
👉 ujenzi wake Hutumia eneo dogo
👉Ni rafiki Kwa mazingira (Havitoi harufu mbaya)
👉 Hudumu kwa mda mrefu (si rahisi kujaa)
👉Vinafaa maeneo yote yaani sehemu za kichanga, mfinyanzi, n.k
👉Urefu futi 10 na upana futi 5
Vyoo hivi hujengwa Kwa kutumia mifumo miwili.
1. SEPTIC TANK SYSTEM
Huu ni mfumo ambao hutumia shimo moja na ujenzi wake Hutumia tofali, gharama yake ni 800,000/=
2. BIODIGESTER SYSTEM.
Huu ni mfumo ambao hutumia mashimo mawili, shimo moja hujengwa Kwa tofali na lingine Kwa mawe, gharama yake ni 1,500,000/
NB. Gharama zote za vifaa ni juu yetu.
Tunapatika bunju Dar es salaam. Bei hizo ni KWA WAKAZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM, Kwa mikoa mingine tunafika Kwa makubaliano maalumu tupigie kwa namba 0769332842