24/01/2025
𝗪𝗔𝗝𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗜𝗠𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗢𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗦𝗔 𝗬𝗔𝗦𝗜𝗬𝗢𝗝𝗔𝗔 𝗠𝗔𝗝𝗜𝗧𝗔𝗞𝗔
DASI SEPTIC TANKS tunatoa Hudumu ya ujenzi wa mashimo ya vyoo vya kisasa ni vyoo Bora na salama Kwa matumizi ya kila mtanzania
Sifa za vyoo vya kisasa.
Ni Imara na vina ubora wa Hali ya juu.
ujenzi wake Hutumia eneo dogo
Ni rafiki Kwa mazingira (Havitoi harufu mbaya)
Hudumu kwa mda mrefu (si rahisi kujaa)
Vinafaa Kwa matumizi ya makanisani/ miskitini, shuleni, hospital, nyumba za kuishi n.k
Vinafaa maeneo yote yaani sehemu za kichanga, mfinyanzi, n.k
Urefu futi 10 na upana futi 6
Vyoo hivi hujengwa Kwa kutumia mifumo miwili.
1. SEPTIC TANK SYSTEM
Huu ni mfumo ambao hutumia shimo moja na ujenzi wake Hutumia tofali, gharama yake ni 750,000/=
2. BIODIGESTER SYSTEM.
Huu ni mfumo ambao hutumia mashimo mawili, shimo moja hujengwa Kwa tofali na lingine Kwa mawe, gharama yake ni 1,200,000/
NB. Gharama zote za vifaa ni ndani ya bei tajwa yaani ni juu yetu.
Tunapatika kigamboni-Dar es salaam . HII OFFER KWA WAKAZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM, Kwa mikoa mingine tunafika Kwa makubaliano maalumu tupigie kwa namba 0655 973959