Puma Energy Tanzania

Puma Energy Tanzania A global energy business delivering high quality fuels safely, swiftly and reliably at a fair price.

Bei mpya za mafuta Mwezi wa Agosti kutoka EWURA. Tembelea kituo cha Puma Energy karibu nawe ufurahie huduma bora.Usisaha...
05/08/2026

Bei mpya za mafuta Mwezi wa Agosti kutoka EWURA.

Tembelea kituo cha Puma Energy karibu nawe ufurahie huduma bora.

Usisahau kupakua App ya Puma Pris, link ipo kwenye BIO udake points 10 kwa kila lita 1 ya wese.

Pata taarifa zaidi kupitia tovuti ya EWURA.

03/08/2026

Pakua App ya Puma Pris, Tembelea kituo cha Puma kununua oil yako ya Puma Lubricants upate points papo hapo!

Kwa kila shilingi elfu 3000 unapata points 10.

Bonyeza link kwenye BIO uweze kupakua App ya Puma Pris.





27/07/2026

Vituo 100, Madawati 100, Miti 100.

Zaidi ya huduma za nishati, tunaendelea kuwa sehemu ya jamii tunazohudumia. K**a sehemu ya uzinduzi huu, Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania Bi Fatma M Abdallah alikabidhi madawati 100 katika Shule ya Msingi Usule na kupanda miti 100 katika shule hiyo kwa ajili ya kuchangia uhifadhi wa mazingira na maendeleo endelevu ya jamii ya Tabora. Pia tulipata nafasi ya kutembelea na kutoa magodoro na vifaa katika Kituo cha Kulelea Watoto cha Istiqaama.

Wewe ni sehemu ya mafanikio haya! Karibu tusherehekee pamoja hatua hii kubwa kwa kupata huduma bora katika vituo vyetu 100 vya huduma za mafuta kote Tanzania.



27/07/2026

Ni wiki nyingine tena ya utafutaji. Pakua App ya Puma Pris, pitia kituo cha Puma, weka wese udake points zako fastaaa.

Kupakua App ya Puma Pris ni rahisi sana. Bonyeza link kwenye BIO yetu uweze kupakua Puma Pris App leo!



TaborašŸ“Jana, 22 Julai 2026, tuliandika historia kwa kuzindua rasmi kituo chetu cha kwanza mkoani Tabora na wakati huohuo...
23/07/2026

TaborašŸ“

Jana, 22 Julai 2026, tuliandika historia kwa kuzindua rasmi kituo chetu cha kwanza mkoani Tabora na wakati huohuo kusherehekea ufunguzi wa kituo cha 100 cha Puma Energy Tanzania.

Tunamshukuru Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe. Upendo Wella, wageni waalikwa na wadau wote waliohudhuria kushuhudia hatua hii muhimu katika safari yetu ya kuwahudumia Watanzania kwa huduma bora za nishati.




Tumeweka alama nyingine muhimu katika safari yetu ya ukuaji nchini Tanzania kwa kuzindua kituo chetu cha 100 cha huduma ...
23/07/2026

Tumeweka alama nyingine muhimu katika safari yetu ya ukuaji nchini Tanzania kwa kuzindua kituo chetu cha 100 cha huduma za mafuta mkoani Tabora, hatua inayodhihirisha dhamira yetu ya kupanua upatikanaji wa huduma bora za nishati kote nchini.

Kikiwa ni kituo chetu cha kwanza mkoani Tabora, kituo hiki kimezinduliwa rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Tabora Upendo Wella, na kitawawezesha wakazi wa Tabora na maeneo jirani kupata huduma bora za mafuta, oili za magari, huduma za ziada kutoka maduka ya ShopExpress, mgahawa na Service Bay.

Wewe ni sehemu ya mafanikio haya! Karibu tusherehekee pamoja hatua hii kubwa kwa kupata huduma bora katika vituo vyetu 100 vya huduma za mafuta kote Tanzania.




21/07/2026

Tabora, wakati umefika!

Kesho, tarehe 22 Julai 2026, Puma Energy Tanzania itazindua rasmi kituo chake cha kwanza Mkoani Tabora, ambacho pia ni kituo cha 100 nchini. Hii ni hatua muhimu katika safari yetu ya kuendelea kuwafikishia Watanzania huduma bora za nishati.

Uzinduzi huo utahudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Paulo Matiko Chacha, ambaye atakuwa mgeni rasmi. Kituo kinapatikana roundabout ya kuelekea Ikulu, Tabora.

Kupitia kituo hiki, wakazi wa Tabora watapata huduma za mafuta ya ubora, Puma Lubricants, PumaGas pamoja na fursa ya kukusanya points za Puma Pris kila wanapotumia huduma zetu.

Karibu tuadhimishe pamoja uzinduzi wa kituo chetu cha kwanza Tabora na mafanikio ya kufikisha vituo 100 nchini Tanzania.




Safari ya kutoa huduma bora inaendelea.Tarehe 22 Julai 2026, tunaandika historia kwa uzinduzi rasmi wa Kituo cha 100 cha...
20/07/2026

Safari ya kutoa huduma bora inaendelea.

Tarehe 22 Julai 2026, tunaandika historia kwa uzinduzi rasmi wa Kituo cha 100 cha Puma Energy Tanzania Mkoani Tabora.

Hatua hii ni ushahidi wa dhamira yetu ya kusogeza huduma za mafuta na nishati karibu zaidi na Watanzania, kwa ubora, usalama na uaminifu unaotutambulisha.

Tunayo heshima ya kumtambulisha Mgeni Rasmi, Mhe. Paulo Matiko Chacha, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, katika uzinduzi huu wa kihistoria.

Vituo 100 vya Puma Energy Tanzania, unyamwezi sana!




13/07/2026

Bado haujapakua Puma Pris App?

Hujachelewa, pakua App ya Puma Pris Play Store au App Store link ipo kwenye BIO ufurahie points kila wakati ukipata huduma kwenye vituo vya Puma Energy.

Kwa kila lita 1 unapata points 10.



CAREER MONTH 2026 Tumezindua msimu wa pili wa career week wenye kauli mbiu Energise Your Career ukiwa muendelezo wa uwek...
10/07/2026

CAREER MONTH 2026

Tumezindua msimu wa pili wa career week wenye kauli mbiu Energise Your Career ukiwa muendelezo wa uwekezaji na uwezeshaji wa rasilimali watu kwa kutengeneza mazingira yanayowawezesha wafanyakazi kukua.

Career Week 2026 ilikuwa ya mafanikio; tulifanya mazungumzo kuhusu kazi, fursa za ukuaji na hatua zinazohitajika kufikia malengo.

Tunahamasisha, tunalea na tunawezesha.

Address

6th Floor, Corner Shabaan Robert And Garden Avenue
Dar Es Salaam
9043

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00
Saturday 08:00 - 16:00
Sunday 08:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Puma Energy Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category