27/10/2025
Habari wateja wetu wa KARIMU'S CONSTRUCTION CACHE Uongozi wa Kampuni yetu unapenda kuwataarifu ya kuwa siku ya Jumatano tarehe 29/10/2025 tutafunga Ofisi kwa siku moja kupisha uchaguzi mkuu,
Hivo basi order zote za siku hiyo zitashughulikiwa kesho (Jumanne) na siku ya Alhamis.
Sanjari na hayo, bado unaweza kuendelea kuweka order yako kupitia namba zetu zifuatazo:-
0719 003 812 au
0757 611 610