Mernet Technology and It solutions

Mernet Technology and It solutions Sisi ni wataalamu wa mifumo ya usimamizi wa biashara, mifumo ya ulinzi (CCTV), matengenezo ya tovuti na software mbalimbali. Wasiliana nasi: πŸ“ž 0767 956 613.

Asante Mteja wetu  kwa kuweza kutuchagua sisi mernet technologies kuwafungia mfumo na kuwatengenezea website ya viwango ...
29/05/2026

Asante Mteja wetu kwa kuweza kutuchagua sisi mernet technologies kuwafungia mfumo na kuwatengenezea website ya viwango vya hali ya juu yaani internnational standard na mfumo wa usimamizi wa hotel. Karibu kwenye familia ya Mernet Technologies # #

Karibu sana +255743463710 whatsapp +255767956613

follow

Asante Mteja wetu kwa kutuchagua sisi tukawe suluhisho la biashara yako Boss. πŸ™
29/05/2026

Asante Mteja wetu kwa kutuchagua sisi tukawe suluhisho la biashara yako Boss. πŸ™

26/05/2026

Stock kubwa sio bahati… ni mpango!

Wamiliki wa hardware wanaofanikiwa wanajua siri moja:
Kusimamia stock kwa mfumo sahihi

βœ” Jua kilichopo dukani muda wowote
βœ” Epuka upotevu wa bidhaa
βœ” Ongeza mauzo bila guesswork
βœ” Fanya maamuzi kwa takwimu, sio kubahatisha

K**a una stock kubwa… unahitaji control kubwa zaidi 😎

πŸ“ž 0767956613 au 0743463710

Mernet Technologies β€” Where Technologies Meet Simplicity

16/05/2026

Epuka stock kuisha na kupoteza wateja wako pasipo wewe kufahamu , karibu Mernet Technologies tunaomfumo bora wa usimamizi wa biashara mfumo huu unakusaidia kurekodi stock mauzo , manunuzi madeni , matumizi..

wasiliana nasi leo
+255743463710 / +255767956613

14/05/2026

Asante Hellen Beauty Chunya ❀️

13/05/2026

Karibu sana

Tunafurahi kukuhudumia katika safari ya kukuza biashara yako

Kupitia mfumo wetu wa usimamizi, utapata urahisi wa kusimamia:
βœ” Mauzo na manunuzi
βœ” Stock ya bidhaa
βœ” Madeni ya wateja
βœ” Wafanyakazi na ripoti za biashara

Lengo letu ni kuhakikisha biashara yako inakuwa rahisi, yenye uwazi na yenye faida zaidi

Karibu sana Mernet Technologies

πŸ“ž 0767956613

Tumefanikisha kwa mafanikio makubwa training ya CCTV Camera kwa mafundi na wadau wa mifumo ya ulinzi.Kupitia mafunzo hay...
07/05/2026

Tumefanikisha kwa mafanikio makubwa training ya CCTV Camera kwa mafundi na wadau wa mifumo ya ulinzi.

Kupitia mafunzo haya, tumehakikisha kila mshiriki anakuwa updated na teknolojia za kisasa za CCTV na usalama.

Tunawashukuru sana wote waliohudhuria πŸ™
Na tunawatakia mafanikio makubwa katika kazi na biashara zenu πŸ’ΌπŸ“ˆ

Sisi Mernet Technologies tutaendelea kushirikiana nanyi na kuwapa mafunzo zaidi kadri tunavyoendelea kukua pamoja

Wasiliana nasi

+255 743 463 710 / +255 767 956 613
Ulinzi Biashara SuccessJourne

Umewahi kujiuliza kwanini duka linaonekana kuchangamka, wateja wanaingia na kutoka, lakini mwisho wa mwezi akaunti ya be...
04/05/2026

Umewahi kujiuliza kwanini duka linaonekana kuchangamka, wateja wanaingia na kutoka, lakini mwisho wa mwezi akaunti ya benki inasoma β€œZero”?

Siri kubwa ambayo wafanyabiashara wengi hawaambiwi ni kwamba: Hauibiwi kwa sababu hupo, unaibiwi kwa sababu huna MFUMO.

Slide kushoto πŸ‘ˆ kuona β€œmianya” 6 inayovuja faida yako kila siku:
1️⃣ Stock & Store: Bidhaa kupotea bila maelezo.
2️⃣ Mauzo: Mauzo yanauzwa bila kuwa na rekodi
3️⃣ Matawi: Kushindwa kusimamia tawi la mbali ukiwa tawi lingine.
4️⃣ Madeni: Kusahau nani anakudai na nani unamdai.
5️⃣ Wafanyakazi: Kukosa nidhamu ya namba kwa sababu hakuna udhibiti.
6️⃣ Matumizi: Kuchanganya pesa ya chakula na pesa ya mtaji.

K**a umechoka kuendesha biashara kwa kubahatisha na unataka kuanza kuona faida yako halisi, Mernet Technologies tupo hapa kukusaidia.

Tunakupa mfumo mmoja wa kisasa unaokupa ripoti ya kila kitu kupitia simu yako, ukiwa popote pale duniani. 🌍

βœ… Okoa muda. βœ… Ziba mianya. βœ… Ongeza faida.

Wasiliana Nasi

+255767956613/0743463710

01/05/2026

Wafanyabiashara wengi wamekuwa wakilalamika kuwa mifumo ya usimamizi wa biashara haiwasaidii… lakini ukweli ni huu πŸ‘‡

Tatizo sio mfumo β€” tatizo ni namna unavyowekwa na support unayopata.

Kwenye video hii tunaelezea mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufunga mfumo wa usimamizi wa biashara ili kuepuka hasara na changamoto zisizo za lazima.

βœ” Pata mfumo unaoendana na biashara yako
βœ” Hakikisha unapata training ya kutosha
βœ” Chagua mtoa huduma mwenye support ya uhakika

πŸš€ Sisi Mernet Technologies tunatoa mifumo ya kisasa inayorahisisha:
β€’ Usimamizi wa stock
β€’ Mauzo na ripoti
β€’ Wateja (CRM)
β€’ Madeni
β€’ Wafanyakazi

πŸ“ž Wasiliana nasi: 0767 956 613

Acha kufanya biashara kwa makisio β€” anza kutumia takwimu sahihi leo.

Epuka hasara zisizo za lazima na fahamu muelekeo halisi wa biashara yako kwa kutumia mfumo wetu bora wa usimamizi wa bia...
31/08/2025

Epuka hasara zisizo za lazima na fahamu muelekeo halisi wa biashara yako kwa kutumia mfumo wetu bora wa usimamizi wa biashara.
Kupitia mfumo huu, utapata taarifa za:
βœ… Mauzo
βœ… Manunuzi
βœ… Matumizi
βœ… Madeni
βœ… Mienendo ya wafanyakazi

Mernet Technologies inakupa huduma hii kwa gharama nafuu kabisa – unapata thamani kubwa kwa bei ndogo!

πŸ“ž +255 743 463 710 / +255 767 956 613
🌐 Mernet Technologies – Secured and Connected

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 15:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mernet Technology and It solutions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share