Majiko ya gas services center

Majiko ya gas services center Huduma zetu:matengenezo ya majiko ya gas na umeme. Tunafika hadi kwako
Tunafanya kazi nzuri kwa Bei nafuu kabisa. Tuko makongo
0759759156

18/07/2026

Tunarekebisha (repair) majiko ya gas na oven za gas na umeme.
📍MAKONGO DSM
📲0759759156
âś…Usafi wa jiko kwa uhakika
âś…Marekebisho ya moyo mdogo kwenye plates za gas unafanyika
âś…Kubadilisha vifaa vilivyo haribika kwenye jiko na oven tunabadilisha

06/07/2026

Installation ya jiko na oven Tunafanya pia
Tunatengeneza majiko ya gas na umeme
Usafishaji wa jiko na oven kwa umakini
Jiko linakua safi kabisa.
Karibuni

06/07/2026

Kwa matengenezo ya jiko au oven tupigie /WhatssApp 0759759156

06/07/2026

âś…Tunatengeneza majiko ya Gas na umeme yaliyo na changamoto (Moto hafifu,gas kuvuja mara kwa mara ,Burner zimechakaa nk
âś…Tunafanya usafi wa Oven kubwa na zakawaida usafi wa jiko vizuri kabisa.
âś…Tunauza spares za majiko na oven
âś…Tunauza majiko used,Oven na Fridge na freezer .
📍MAKONGO DSM
📲 0759759156
âś… Tinakufikia mahali ulipo
âś…Huduma zetu ni nzuri na nafuu

26/06/2026

🪛🧰🔧 Tunafanya matengenezo ya majiko ya gas.Kama jiko /Oven yako imeharibika tupigie simu au WhatssApp 0759759156.
📍MAKONGO JUU DSM

08/04/2026

Huduma zinazofanyika:
Installation (kuunganisha jiko lako la gas /umeme

Matengenezo (Kwenye mfumo wa gesi wa jiko ni muhimu sana kuchunguzwa na k**a unahitaji matengenezo ya fanyike kwenye jiko ili kuweka mazingira rafiki kwa matumizi salama.mfumo wa umeme nao pia unaangaliwa na matengenezo hufanyika.
Spares za majiko zima patikana (Mpya na zilizotumika ambazo zinafaa kwa matumizi pia)
Tupigie /WhatssApp namba. 0759759156

26/03/2026

Tunafanya matengenezo ya majiko ya gas na umeme.
Tuko makongo Dsm
Tunakufikia kwako

18/03/2026

Address

Makongo Juu
Dar Es Salaam
14113

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Majiko ya gas services center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share