05/03/2026
π½ FUNDI ENGINEER CONSTRUCTION π½
Wataalamu wa Ujenzi wa Vyoo vya Kisasa Visivyojaa Haraka
Tunajenga nakuchimba mashimo ya vyoo vya kisasa visivyojaa Kwa mnda mrefu vyoo hvi vinachukua eneo dogo la kiwanjatunajenga kwa uminifi pia tupo makina nakaz kwa mazingila
β
Vyoo vya kisasa (modern toilets)
β
Vyoo havitoi halufu nilafiki na mazingila
β
Vyoo vya mfumo maalum wa kudumu muda mrefu
β
Ukarabati na maboresho ya vyoo vya zamani
β
Vyoo vya shule, nyumba na maeneo ya biashara
Kwa nini utuchague?
βοΈ Ujenzi imara na wa kudumu
βοΈ Teknolojia ya kisasa ya kuzuia kujaa haraka
βοΈ Bei nafuu na kazi safi
βοΈ Uaminifu na kuheshimu muda wa mteja
βοΈ Ushauri wa kitaalamu bila malipo
βοΈujenzi usiochukua eneo kubwa la kiwanja
Tunajenga kwa ubora, usafi na viwango vya kisasa.kwa shimo moja la ruva ni tsh 800000
kwamashimo mawili la ruva na mawe ni tsh 1200000
Kwaujumla wa ghalam hvi zinaambatanisha na navifaa vyote vya ujimbani naujizi bossi unatuandalia majitu
Kwan mawasiliano π0796782137