11/10/2024
Tunatoa huduma za umeme K**a zifuatazo
Wearing za kisasa kwa nyumba aina zote tunafanya double cirquit's wearing yani sola na Tanesco zikijunuisha media pamoja na mifumo yote ya mawasiliano pia tunafanya maboresho ya muonekano wa nyumba yako kwa njia ya umeme k**a vile kuweka mifumo ya taa za urembo (decorations lamp) na kubadilisha muonekano wa sebule yako na hata muonekano wa nje
Wasiliana nasi kwa cm no 0713592476