Mzee Yussuf Enterprises

Mzee Yussuf Enterprises Mzee Yussuf Enterprises company Limited.

Mzee Yussuf Enterprises company Limited

- Ni Kampuni iliyoanzishwa mwaka 2012 na kupata Usajili chini ya sheria ya makampuni ya mwaka 2002

- Ni Kampuni inayozalisha, kuuza na kusambaza matofali aina mbalimbali yenye bora wa hali ya juu kwa bei nafuu. Business Motto: Kwa matofali bora kwa bei nafuu.

- Ni Kampuni iliyoanzishwa mwaka 2012 na kupata Usajili chini ya sheria ya makampuni ya mwaka 20

02

- Ni Kampuni inayozalisha, kuuza na kusambaza matofali aina mbalimbali yenye bora wa hali ya juu kwa bei nafuu.

- Ni Kampuni inayokua kwa kasi na hivyo ni Kampuni bora kufanya nayo biashara

Kwanini ujenge na Mzee Yussuf Enterprises Company Limited ?

-kwasababu tunakuhakikishia matofali bora na imara

- Bei zetu ni nafuu sana

- Tutakusafirishia matofali yako mpaka site

- Unaweza kuona matofali ya mfano (sample blocks)

Tunawakaribisha pia mawakala wa mauzo

Mawasiliano:
Mkurugenzi - 0655888889

Afisa masomo - 0717532584

Buyuni - Chanika Road
Plot no 53 Block Q
Ilala - Dar es salaam

Hakuna presha kwenye hii taaluma tumerudi upyaaa
14/09/2025

Hakuna presha kwenye hii taaluma tumerudi upyaaa

Maana halisi ya hutakiwi kuyaogopa maisha pambana naya Mungu hamtupi mja wake.Karibu tukuhudumie
07/09/2025

Maana halisi ya hutakiwi kuyaogopa maisha pambana naya Mungu hamtupi mja wake.
Karibu tukuhudumie

05/09/2025
Kuna wakati unakumbuka wale ulifanya nao mambo makubwa na kupambana na yeye awe mkubwa na Mungu anakubali....Lkn achana ...
29/02/2024

Kuna wakati unakumbuka wale ulifanya nao mambo makubwa na kupambana na yeye awe mkubwa na Mungu anakubali....
Lkn achana na watu wanaoitwa wafitini yaani kutia fitna acha kabisaa....
Huyu swahiba wangu Said Mdoe ni zaidi ya ndugu tulikua tunazikiana familia zetu tunauguzana tunatembeleana.... lin sahivi hatuko k**a zamani najua ni consequences za wafitini. Ila namkubali sana ndugu yangu huyu tumtakie heri ya siku ya kuzaliwa ndugu yangu.
Happy birthday bless ziwe nyingi kutoka kwake Allah. Amiin

Queen boss mtoto wa mjini mwenye kumiliki  na  atakuwepoUsimlaumu Dobi hiyo ndo rangi yake Unambiwa Udugu k**a Nywele uk...
07/01/2024

Queen boss mtoto wa mjini mwenye kumiliki na atakuwepo

Usimlaumu Dobi hiyo ndo rangi yake
Unambiwa Udugu k**a Nywele ukinyoa zinaota tena,
Ni Usiku wa Jumatatu hii ya tarehe 8 ndani ya Savoy Buza Kanisani
Birthday ya Mfalme wa Music wa Taarab inaanza upyaaa ataingia ukumbini akiongozana na akipewa Joto na Kundi zima la Jahazi Morden Taarab wakisindikizwa na

na wengine kibaoo"Jahazi k**a Mkanda kila Mtu anafunga size yake"
Cc
Link on my bio


Usimlaumu Dobi hiyo ndo rangi yake Unambiwa Udugu k**a Nywele ukinyoa zinaota tena,Ni Usiku wa Jumatatu hii ya tarehe 8 ...
07/01/2024

Usimlaumu Dobi hiyo ndo rangi yake
Unambiwa Udugu k**a Nywele ukinyoa zinaota tena,
Ni Usiku wa Jumatatu hii ya tarehe 8 ndani ya Savoy Buza Kanisani
Birthday ya Mfalme wa Music wa Taarab inaanza upyaaa ataingia ukumbini akiongozana na akipewa Joto na Kundi zima la Jahazi Morden Taarab wakisindikizwa na

na wengine kibaoo"Jahazi k**a Mkanda kila Mtu anafunga size yake"
Cc
Link on my bio


Boss chioma ndani ya nyumbaUsimlaumu Dobi hiyo ndo rangi yake Unambiwa Udugu k**a Nywele ukinyoa zinaota tena,Ni Usiku w...
07/01/2024

Boss chioma ndani ya nyumba
Usimlaumu Dobi hiyo ndo rangi yake
Unambiwa Udugu k**a Nywele ukinyoa zinaota tena,
Ni Usiku wa Jumatatu hii ya tarehe 8 ndani ya Savoy Buza Kanisani
Birthday ya Mfalme wa Music wa Taarab inaanza upyaaa ataingia ukumbini akiongozana na akipewa Joto na Kundi zima la Jahazi Morden Taarab wakisindikizwa na

na wengine kibaoo"Jahazi k**a Mkanda kila Mtu anafunga size yake"
Cc
Link on my bio


Queen wa mipasho Tz atakuwepo  Udugu mtamu link on my bio
06/01/2024

Queen wa mipasho Tz atakuwepo

Udugu mtamu link on my bio

🔉 Umaambiwa "Zote jeans ila Jahazi ni Big Mack" Ni Ijumaa hii ndani ya  MUUNGANO LOUNGE WANAWALETEA JAHAZI MODERN TAARAB...
04/01/2024

🔉 Umaambiwa "Zote jeans ila Jahazi ni Big Mack"

Ni Ijumaa hii ndani ya MUUNGANO LOUNGE WANAWALETEA JAHAZI MODERN TAARAB *(5th.January.2024)*

🪩 Itakuwa Special day, birthday ya King of Modern Tartan

🛑Njoo ushuhudie Malkia akimpandisha jukwaani Mfalme kwa style yake

"Mfalme kanyaga twende tumechelewa sana tutachimba Dawa tukifika"

🛑 KIINGLIO NI 5,000Tshs tu.



🚩Tupo Kivule Shule (Dar es salaam)

Address

CHANIKA
Dar Es Salam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 16:00
18:00 - 19:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mzee Yussuf Enterprises posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mzee Yussuf Enterprises:

Share