10/03/2026
MAKAA YA MAWE TANZANIA.
Makaa ya mawe bado ni chanzo kikubwa cha nishati duniani.
Yanatumika kwenye:
✔ uzalishaji wa umeme
✔ viwanda vya saruji
✔ viwanda vya chuma
Tanzania ina akiba kubwa ya makaa ya mawe kusini mwa nchi.
Swali:
Je makaa ya mawe bado yana nafasi kwenye dunia ya nishati safi?