Duka la taifa

Duka la taifa DUKA LA TAIFA ni kampuni ya Kitanzania inayojihusisha na shughuli mbalimbali muhimu kwa maendeleo ya jamii na sekta ya ujenzi. Tupo Dodoma

Ni wauzaji na wasambazaji wa Vifaa vya Ujenzi na Umeme,
Niwatengenezaji wa Milango na Madirisha ya Aluminium. DUKA LA TAIFA TRADING CO. LTD ni kampuni ya Kitanzania inayojihusisha na shughuli mbalimbali muhimu kwa maendeleo ya jamii na sekta ya ujenzi. Tunatoa huduma zifuatazo kwa weledi na ubora wa hali ya juu:

Uuzaji na Usambazaji wa Vifaa vya Ujenzi na Umeme – Tunauza na kusambaza saruji,

nondo, mabati, waya za umeme, taa, soketi, na vifaa vingine vyote muhimu kwa ujenzi na miundombinu ya umeme. Utengenezaji wa Milango na Madirisha ya Aluminium – Tunatengeneza na kusambaza madirisha, milango, na bidhaa zote zinazohusiana na aluminium kulingana na vipimo na mahitaji ya mteja kwa ubora wa kisasa. Uuzaji wa Mahitaji Mengine ya Kila Siku – Tunahakikisha upatikanaji wa bidhaa za matumizi ya kawaida kama vifaa vya nyumbani, usafi, na mahitaji mengine muhimu kwa maisha ya kila siku. Tunaamini katika ubora, uaminifu na huduma bora kwa wateja wetu – kwa dhamira ya kuwa sehemu ya kila ujenzi na maendeleo ya kila familia na Taifa kwa ujumla

DUKA LA TAIFA TRADING CO LTD Tunauza vocha aina zote kwa bei ya Jumla. Tembelea mitandao yote ya kijamii Yas Tanzania
26/04/2026

DUKA LA TAIFA TRADING CO LTD Tunauza vocha aina zote kwa bei ya Jumla. Tembelea mitandao yote ya kijamii Yas Tanzania

Tunauza vocha aina zote kwa bei ya Jumla. Yas Tanzania
26/04/2026

Tunauza vocha aina zote kwa bei ya Jumla. Yas Tanzania

26/04/2026

Zinapatikana DUKA LA TAIFA

26/04/2026

Zinapatikana DUKA LA TAIFA Watercom

DUKA LA TAIFA TRADING CO LTD tunawatakia waislamu wote heri ya sikukuu ya EID EL-FITR
22/03/2026

DUKA LA TAIFA TRADING CO LTD tunawatakia waislamu wote heri ya sikukuu ya EID EL-FITR

24/02/2026
19/02/2026

DUKA LA TAIFA TRADING CO LTD inawatakia wakristo wote heri ya mfungo wa kwaresma

Address

CHAMWINO IKULU
Dodoma
41434

Opening Hours

Monday 07:30 - 18:30
Tuesday 06:30 - 18:30
Wednesday 07:30 - 18:30
Thursday 07:30 - 18:30
Friday 07:30 - 18:30
Saturday 09:00 - 18:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Duka la taifa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Duka la taifa:

Share