Aquaculture and Environmental Services Ltd

Aquaculture and Environmental Services Ltd The Company deals in Fish pond engineering, Fish farming, Ornamental Fish, Fish feed, Fish seed production, Environmental education and General supply

The future of Aquaculture in East Africa - SUMMIT held in Dar es salaam, Tanzania by host of Australian Government.Thank...
03/05/2017

The future of Aquaculture in East Africa - SUMMIT held in Dar es salaam, Tanzania by host of Australian Government.

Thank you all symposium and aquaculture stakeholders from different angles of Tanzania Institutions, companies, Kenya, Zambia and all about David Ball for his initiatives.

The perception about Aquaculture in East Africa countries is spreading widely.

KONGAMANO la Wataalam na Wadau wa Ufugaji samaki Afrika Mashariki lilifanyika Dar es salaam kwa udhamini wa Serikali ya Watu wa Australia.

Shukrani kwa wataalam wa serikali na wadau wa ufugaji samaki kutoka maeneo mbali mbali ya Taasisi za serikali, makampuni, Kenya, Zambia na David Ball kwa utashi wake wa kuandaa warsha hii.

Mapokeo chanya kuhusu Ufugaji samaki kwa nchi za Afrika Mashariki yanasambaa kwa maeneo makubwa sana.

20/03/2017

Je, huwa una Mizani shambani kwako? Mizani ni muhimu sana kwenye shamba la ufugaji bora wa samaki na inafaida zifiatazo. 1. Kupima chakula...

Soko la Kambale walio kaushwa kwa moshi wana soko kubwa na la uhakika zaidi ukilinganisha na Kambale wabichi...utafiti u...
17/02/2017

Soko la Kambale walio kaushwa kwa moshi wana soko kubwa na la uhakika zaidi ukilinganisha na Kambale wabichi...utafiti usio rasmi umeonesha.

Kadhalika Kambale mwenye saizi ndogo (kati ya 160g hadi 220g) anachukua nafasi kubwa sana ya soko kutokana na ufahali wa mtumiaji wa mwisho kuona kuwa amenunua Kambale mzima (whole fish).

Hapa ni Kambale waliovuliwa kutosha shamba la ufugaji, wakakaushwa kwa moshi na kupelekwa sokoni.

Wasiliana nasi kwa kazi za ukaushaji (smoking) na utafutaji wa masoko ya Kambale. Piga au whatsapp Na 0784 455 683 au 0753 749 992 au 0718 986 328

Fursa za ufugaji samaki kwa vijana na wastaafu!
22/01/2017

Fursa za ufugaji samaki kwa vijana na wastaafu!

Mh Raisi mstaafu Dr J kikwete akisikiliza maelezo kutoka kwa mtaalamu wa ufugaji wa samki nchin Afrika ya kusini . Hakika harakati z...

We 're preparing Business Projects Plan for Fish Farmers at a cheap costs.Contact us through Email: aquacultureservices@...
12/12/2016

We 're preparing Business Projects Plan for Fish Farmers at a cheap costs.

Contact us through Email: [email protected] , cell phones: +255 753 749 992 or +255 784 455 683 or +255 718 986 328.

You 're most welcome.

The trend of fish farming in Tanzania is growing day to day.
29/11/2016

The trend of fish farming in Tanzania is growing day to day.

AQUES LTD wakitoa mafunzo ya kuiona fursa iliyopo kwenye ufugaji samaki katika Kongamano la Wanawake wa Makanisa ya Kikr...
09/10/2016

AQUES LTD wakitoa mafunzo ya kuiona fursa iliyopo kwenye ufugaji samaki katika Kongamano la Wanawake wa Makanisa ya Kikristo katika Kanisa la ANGLIKANA Tanzania (St. GABRIEL - TUMBI), Kibaha siku ya J'mosi, Oktoba 8, 2016.

Ahsante sana Mch. C.MHINA na Washiriki wote kwa ushiriki wenu.AQUES LTD inawatakia mafanikio tele katika kutekeleza mipango yenu, hakika Mungu yupo nanyi katika mipango yenu ya kujikwamua kimaisha.

Wanawake wakijikwamua katika uchumi, familia itakuwa imejikwamua!..Maana unapoongelea Wanawake, utakuwa umegusa watoto na familia kwa ujumla.

AQUES (T) LTD MISSION AND VISSION MISSIONTo promote the country’s fisheries industry with modernized aquaculture technol...
28/09/2016

AQUES (T) LTD

MISSION AND VISSION

MISSION

To promote the country’s fisheries industry with modernized aquaculture technology, quality seed stock for culturable species and other indigenous species of high commercially value towards sustainable aquaculture and environmental issues to ensure attainment of food security and eradicate poverty, improve capacity building, develop an aquaculture business –based culture technology engineering and carry out technology transfer to the business world develop fisheries technology information system and facilitate an effort on fisheries resource and its environment conservation.

VISSION

Aquaculture and environmental services Limited is a non-government company of fisheries and aquatic resources, a dynamic aquaculture and environmental services company that serves the needs of aquaculture and environmental services to establish the company as a premier service provider and aqua-business for the development of competitive, sustainable and reasonable freshwater, and marine water aquaculture business system.

AQUES LTD Tanzania inakuunganisha moja kwa moja(China) kwa watengenezaji wa mashine bora za kutengeneza vyakula(pellets)...
26/09/2016

AQUES LTD Tanzania inakuunganisha moja kwa moja(China) kwa watengenezaji wa mashine bora za kutengeneza vyakula(pellets) vya SAMAKI.

Floating fish feed pellet making machine
Power:5.5kw-7.5kw.
Capacity:80kg/h-100kg/h.
Pellet diameter:1.2mm-6mm.

Wasiliana nasi kwa simu namba 0655 749 992 au 0784 455 683.

Email: [email protected]

Website: AQUES LTD (www.aquacultureservices.blogspot.com)

AQUES LTD hutoa mafunzo ya ujasiliamali wa ufugaji samaki kwa VIKUNDI mbalimbali na baada ya mafunzo huwapeleka kuona mi...
18/09/2016

AQUES LTD hutoa mafunzo ya ujasiliamali wa ufugaji samaki kwa VIKUNDI mbalimbali na baada ya mafunzo huwapeleka kuona miradi inayofanyakazi...Kadhalika AQUES LTD inasaidia kuwaandikia Andiko la Mradi(Project Business Plan) wa ufugaji samaki kwa lengo la kuombea mikopo au kufahamu "returns" ya mradi wa ufugaji samaki.

Wasiliana nasi ili kikundi chako tuweze kukihudumia maarifa ya ufugaji samaki.

Tembelea Website/blog yetu "Aquacultureservices.blogspot.com" au page yetu "Aquaculture and Environmental Services Ltd" au tuma E-mail "aquaculture [email protected]" au piga simu namba 0655 749 992 au 0784 455 683

Integrated Aquaculture practices.
11/09/2016

Integrated Aquaculture practices.

09/09/2016

Address

P. O Box 45265, 3rd Floor Block C-3
East Africa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aquaculture and Environmental Services Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Aquaculture and Environmental Services Ltd:

Share