Munio Petrol Station

Munio Petrol Station Petroleum Retail Company
Dealers in Petroleum Products and Lubricants�

Habari kwenye kurasa za mbele za magazeti Oktoba 22 2026. Tufatilie zaidi kwenye mitandao yetu ya kijamii TikTok, Facebo...
22/10/2026

Habari kwenye kurasa za mbele za magazeti Oktoba 22 2026.

Tufatilie zaidi kwenye mitandao yetu ya kijamii TikTok, Facebook, na YouTube MUNIO PETROL STATION.

21/10/2026

Wataniiiiii.... Ni muhimu kuijalii gari Yako pia Pata mafuta Bora kutoka MUNIO petrol stations, Utaifanya safari yako kuwa salama zaidi .

Munio Petrol Station tunajali gari Yako⛽

Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania (TMA), Imewashauri watumiaji wa bahari pamoja na wananchi kwa ujumla kuendelea kufuatil...
21/10/2026

Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania (TMA), Imewashauri watumiaji wa bahari pamoja na wananchi kwa ujumla kuendelea kufuatilia na kuzingatia taarifa za utabiri wa Hali ya hewa zinazotolewa na mamlaka hiyo pamoja na kupata ushauri na miongozo kutoka kwa wataalam wa sekta husika .

Tufatilie zaidi kwenye mitandao yetu ya kijamii TikTok, Facebook, na YouTube Petrol Station.

Magazetini Leo Kenya na Tanzania, tunakuletea habari karibu Yako.. Tufatilie zaidi kwenye mitandao yetu ya kijamii✨ TikT...
21/10/2026

Magazetini Leo Kenya na Tanzania, tunakuletea habari karibu Yako..

Tufatilie zaidi kwenye mitandao yetu ya kijamii
✨ TikTok
✨ Facebook
✨YouTube. petrol station.

Ibrahimu Lulambo Kiswaga (64) mkazi wa Kijiji cha Ilulu wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe amehukumiwa na mahakama ya W...
20/10/2026

Ibrahimu Lulambo Kiswaga (64) mkazi wa Kijiji cha Ilulu wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe amehukumiwa na mahakama ya Wilaya kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la kujaribu kubaka mtoto wa miaka 12.

hukumu hiyo imetolewa mbele ya ya Hakimu Mhe. James Mhoni ambapo mhukumiwa alitekeleza tukio Hilo Machi 25, 2026. .

Kamati ya kanuni na sheria ndogo ya Baraza la wawakilishi Zanzibar imetembelea shirika la vieango Tanzania (TBS), katika...
20/10/2026

Kamati ya kanuni na sheria ndogo ya Baraza la wawakilishi Zanzibar imetembelea shirika la vieango Tanzania (TBS), katika ofisi za Shirika Hilo zilizopo Ubungo, Dar es salaam, kwa lengo la kujifunza kuhusu majukumu ya TBS, mifumo ya usimamizi wa viwango na utekelezaji wa kanuni na sheria zinazohusu huduma za metrolojia.

TBS" itaendelea kuhakikisha kuwa Tanzania inakuwa na mfumo wa vipimo unaoaminika na unaolingana na mifumo ya kimataifa, ili kusaidia maendeleo ya viwanda, biashara, sayansi na uchumi wa nchi." Amesema Dkt.Katunzi.

Huduma Bora ya maji itasaidia wananchi kutumia muda na rasilimali zao kwa ufanisi zaidi katika shughuli zote zinazotegem...
20/10/2026

Huduma Bora ya maji itasaidia wananchi kutumia muda na rasilimali zao kwa ufanisi zaidi katika shughuli zote zinazotegemea uwepo wa huduma ya maji.

Mwenyekiti wa mtaa wa Miale, ndugu Said Salum ameeleza kuwa Mbali na kuboresha huduma ya maji, kukamilika kwa mradi huu kunaongeza fursa za kiuchumi hususani katika shuhuliza uzalishaji na biashara hatua itakayochochea kukua kwa uchumi wa wananchi wa hapa miale.

Kwa taarifa zaidi ufuate kurasa zetu za Facebook, TikTok na YouTube

Watu 12 wafariki Dunia Sekenke na wengine wawili kujeruhiwa. Waliofariki askari 5 na mahabusu 7.
22/09/2026

Watu 12 wafariki Dunia Sekenke na wengine wawili kujeruhiwa. Waliofariki askari 5 na mahabusu 7.

MUNIO PETROL STATION inaungana na watanzania wote kuomboleza msiba wa Mama Fatma Karume.  Uliotokea Jana 21 Sep 2026.
22/09/2026

MUNIO PETROL STATION inaungana na watanzania wote kuomboleza msiba wa Mama Fatma Karume.
Uliotokea Jana 21 Sep 2026.

21/09/2026

Soko la machinga Dodoma laungua na moto tarehe 20 sep 2026

Address

Himo
P.O.BOX160

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Munio Petrol Station posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share