15/07/2026
Mara kadhaa baadhi ya wateja hupenda kuja na kujaziwa gass bila kukaguliwa kwa magari Yao
✅Lakini ni hatari Sana maana shida ya weza kuwa kubwa na ukagombana na fundi
✅Huyu alitaka awekewe tuu gass aondoke nikamuomba tukague Kwanza ,
✅Hii leakage ni kubwa Sana Kwa gass kwa Mteja yaweza kuwa ndogo ila gass haitamaliza hata masaa kumi maana wenyewe hutoka hata k**a haitumiki
🤙🏾 0757130031