Success Swahili

Success Swahili Karibu tukusaidie kujenga Biashara na Ujasiriamali kwa kutumia TEHAMA. Tumia mitandao ya kijamii, to Biashara bila matangazo imekufa.

Ni lazima wateja wakufahamu wewe mwenyewe na bidhaa au huduma zako kabla hawajanunua. Teknolojia ya habari na mawasiliano inarahisisha kabisa jinsi ambavyo unaweza ukauza bidhaa au huduma zako. Kwa kutumia mitandao ya kijamii, blogu, barua pepe, na tovuti, unaweza kabisa kujitangaza kwa ufanisi. Tena kwa kutumia fedha kidogo sana. K**a wataalam wa TEHAMA, tunakukaribisha kujifunza mambo mbalimbali

yatakayokusaidia kuzifanya bidhaa na huduma kufahamika kwa wateja wengi zaidi. Kumbuka kuwa unaweza kuwa na bidhaa bora kabisa au huduma nzuri sana lakini bila matangazo hauwezi kufika popote. Tunakurahisishia kutumia simu yako ya mkono kujitangaza na kufahamika kwa watu wengi zaidi. Jifunze ujuzi, maarifa, mbinu, na njia mbalimbali zitakazokusaidia kusimamia, kuendesha, na kukuza biashara yako. Tumia makala, video, picha, na mambo mengine mbalimbali katika kujifunza elimu ya kidijitali katika ulimwengu huu wa kompyuta.

Address

Kijitonyama
Kijitonyama

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Success Swahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Success Swahili:

Share