Mosha Investment Limited

Mosha Investment Limited Mosha Integrated Investment Ltd hutengeneza tofali za mwamba zenye ubora wa hali ya juu kutoka machimbo ya asili mkoani Kilimanjaro.

Tunasambaza pia vigae, kokoto, rock dust na ballast kwa miradi ya ujenzi kote nchini.

05/03/2026

Tupo site!
Tunashughulikia oda zenu!

Chagua tofali za mwamba kutoka Mosha Integrated Investment Ltd  Weka oda yako sasa!πŸ“ž 00764 814 979   |  πŸ“© sales@moshaint...
04/03/2026

Chagua tofali za mwamba kutoka Mosha Integrated Investment Ltd
Weka oda yako sasa!
πŸ“ž 00764 814 979 | πŸ“© [email protected]
🌐 www.moshaintegrated.com
πŸ“ Majengo, Arusha

Je unataka kupamba nyumba yako na kumbi zake?Je umetafuta vigae imara ukakosa?Tuko hapa kwa ajili yako!Tuma oda yako ya ...
28/10/2025

Je unataka kupamba nyumba yako na kumbi zake?
Je umetafuta vigae imara ukakosa?
Tuko hapa kwa ajili yako!
Tuma oda yako ya vigae upate kuimarashisha nyumba yako.
Tupo wazi!

Imarisha ujenzi wako kwa vigae bora, vinavyodumu na kuvutia kwa bei nafuu! πŸ’ͺβœ¨πŸ‘‰ Pata vigae kwa bei nafuu, na usafiri upo ...
24/10/2025

Imarisha ujenzi wako kwa vigae bora, vinavyodumu na kuvutia kwa bei nafuu! πŸ’ͺ✨
πŸ‘‰ Pata vigae kwa bei nafuu, na usafiri upo hadi eneo lako!
πŸ“ž Weka oda yako sasa: 0764 814 979

Tupo kwenye ground kuhakikisha tofali ni imara!
23/09/2025

Tupo kwenye ground kuhakikisha tofali ni imara!

🌟 Fursa kwa Madalali Dar es Salaam & Dodoma!Wenye leseni na mtandao wa wateja tunawakaribisha kushirikiana na Mosha Inte...
13/08/2025

🌟 Fursa kwa Madalali Dar es Salaam & Dodoma!
Wenye leseni na mtandao wa wateja tunawakaribisha kushirikiana na Mosha Integrated Investment Ltd katika usambazaji wa tofali & pavings bora.

πŸ“² 0764 814 979

Paving za Sakafu na UkutaπŸ”ΉBei nafuu – Sakafu  30,000/mΒ², Ukuta  25,000/mΒ²πŸ“© Wasiliana nasi sasa!πŸ“ž 0764 814 979🌐 moshainte...
12/08/2025

Paving za Sakafu na Ukuta
πŸ”ΉBei nafuu – Sakafu 30,000/mΒ², Ukuta 25,000/mΒ²
πŸ“© Wasiliana nasi sasa!
πŸ“ž 0764 814 979
🌐 moshaintegrated.com
Jenga Kwa paving asili

Mosha Integrated Limited – Tunakuletea tofali za mwamba zenye uimara wa hali ya juu kwa ujenzi wa nyumba, biashara na mi...
12/08/2025

Mosha Integrated Limited – Tunakuletea tofali za mwamba zenye uimara wa hali ya juu kwa ujenzi wa nyumba, biashara na miradi mikubwa. Zimeundwa kustahimili mazingira magumu na kudumu kwa miaka mingi.

πŸ“ž Wasiliana nasi leo upate bei nafuu na huduma ya haraka!
🏠 KIA Mererani Road, Kilimanjaro, Tanzania.

05/08/2025

Tumejiandaa kukuhudumia wakati wowote

05/08/2025

tumejiandaa vizuri kukuhudumia

Watu wa Arusha na Moshi Mpo?🫑Je unafahamu kuwa tumekita kambi kwa maonyesho ya Nane Nane?Karibu kwenye Banda letu  ujion...
04/08/2025

Watu wa Arusha na Moshi Mpo?🫑
Je unafahamu kuwa tumekita kambi kwa maonyesho ya Nane Nane?
Karibu kwenye Banda letu ujionee wewe mwenyewe bidhaa zetu.
Piga simu 0686542539
Kuelekezwa kwenye Banda letu na mengineyo!

Address

KIA Mererani Road
Kilimanjaro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mosha Investment Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mosha Investment Limited:

Share