Paul fundi umeme

Paul fundi umeme Am electrician, teacher, leader. Nitatumia vipaji vyangu na uwalimu kuchochea mafanikio ya kweri

30/04/2026
22/04/2026

POWER AUDITING # #

16/04/2026

Chumvi inaweza kusaidia kuongezeka kwa conductivity kwenye udongo, lakini tatizo ni kwamba chumvi pia inaweza kusababisha (kutu) kwenye nyaya za copper, kwa hivyo kwa muda mrefu, ukuta wa nyaya unaweza kudhoofika. Kwa hiyo, kutumia suluuhisho la kisasa k**a compound za earthing (ambazo zimeundwa maalum) ni bora zaidi, kwa sababu hazibadilishi tu conductivity, bali pia zinazuia kutu na kudumisha ufanisi wa muda mrefu. Kwa hivyo, ni ushauri mzuri, hasa kwenye mifumo ya kisasa ya earthing. #

07/04/2026

RUNGWA ELECTRICAL COMPANY LTD
tukiendelea na zoezi la ukaguzi mdani ya new caplipont
0623977580

27/12/2025

Usiseme meter inapoteza umeme tupigia tukukagulie mifumo ya umeme ili kuondoka changamoto ya upotevu wa umeme
Piga 0623977580 au 07129877580

RUNGWA ELECTRICAL COMPANY LTD Tunamfungia client power quality analysis kwa siku 6 ili kutapa parameter zote kwa wakati ...
19/12/2025

RUNGWA ELECTRICAL COMPANY LTD
Tunamfungia client power quality analysis kwa siku 6 ili kutapa parameter zote kwa wakati mmoja ili kufahamu kinacho fanya anatumia bill kubwa ya umeme ingari mzigo alio nao ni mdogo
Kalibu sana tukudumie

Address

Majengo
Mpanda
10030

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 18:00
Wednesday 07:00 - 18:00
Thursday 07:00 - 18:00
Friday 07:00 - 18:00
Saturday 07:00 - 18:00

Telephone

+255623977580

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Paul fundi umeme posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Paul fundi umeme:

Shortcuts

Share

Category