Bentech Security

Bentech Security BENTECH SECURITY SYSTEM HUDUMA ZETU
1. Ufungaji wa cctv camera
2. Ufungaji wa Electric Fence
3. Ufungaji wa Gate Motor
4. Ufunfaji wa Video Intercom
5.

Ufungaji wa Alarm System
6. Access Control
7. Pia tunafanya Maintenance na tunatoa ushauri kabla

27/05/2026
🔐 Usalama hauanzi baada ya wizi…Unaaanza kabla yake. Kamera zeru ni bora full HD. Tupigie sasa 0764424874
20/05/2026

🔐 Usalama hauanzi baada ya wizi…
Unaaanza kabla yake. Kamera zeru ni bora full HD. Tupigie sasa 0764424874

19/05/2026

Comment SALAMA k**a unahitaji usalama tutakufikia

Je unajua kinachoendelea kwenye eneo lako la bishara au uwekezaji au nyumbani kwako?Weka mfumo wa ulinzi wa kisasa na uf...
18/05/2026

Je unajua kinachoendelea kwenye eneo lako la bishara au uwekezaji au nyumbani kwako?

Weka mfumo wa ulinzi wa kisasa na ufuatilie kila tukio kwenye simu yako

16/05/2026

Kazi ikiendelea Mwamanyiri Busega
Tunafunga cctv camera za kisasa na kwa umakini mkubwa ili kuhakikisha kila kona inalindwa.
Usalama si bahati… ni maamuzi.

👉 Location yako ni wapi?

13/05/2026

Watu wengi huanza kufikiria usalama baada ya kuibiwa…
Usisubiri hasara ndipo uchukue hatua.
Linda familia yako, biashara yako, na mali zako leo. 🔐

Je, eneo lako lipo salama kweli? Hujachelewa tupigie 0764424874

Hivi ndivyo tunavyofunga CCTV kwa uboraHatufanyi haraka… tunafanya kwa uhakika.Kila kona inalindwa 🔐Ungependa tufike kwa...
10/05/2026

Hivi ndivyo tunavyofunga CCTV kwa ubora
Hatufanyi haraka… tunafanya kwa uhakika.
Kila kona inalindwa 🔐
Ungependa tufike kwako?

❌ MAKOSA 3 YANAYOFANYA CCTV ISISAIDIE1. Kununua camera fake2. Kufunga sehemu zisizo sahihi3. Kutokuwa na storage nzuriUs...
09/05/2026

❌ MAKOSA 3 YANAYOFANYA CCTV ISISAIDIE
1. Kununua camera fake
2. Kufunga sehemu zisizo sahihi
3. Kutokuwa na storage nzuri
Usifanye haya makosa.

Ungependa tukushauri bure?

"Tangu nifunge CCTV, nimepata amani sana” - Mteja wetu MwanzaSasa anaweza kufuatilia biashara yake hata akiwa safarini.W...
08/05/2026

"Tangu nifunge CCTV, nimepata amani sana” - Mteja wetu Mwanza

Sasa anaweza kufuatilia biashara yake hata akiwa safarini.

Wewe je, ungependa amani k**a hii?

Address

Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bentech Security posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share