BRAMO Tech Engineering Company Limited

  • Home
  • BRAMO Tech Engineering Company Limited

BRAMO Tech Engineering Company Limited We are actively engaged in the renewable energy sector, providing sustainable, affordable, and environmentally friendly energy.

Our primary focus areas include biogas, solar energy, and biomass briquettes, each reducing fossil fuel dependance. We also deal with bisiness networking in a very profitable way that benefits each individual every month.

๐ŸŒฟ ๐—๐—œ๐—™๐—จ๐—ก๐—ญ๐—˜ ๐—ง๐—˜๐—ž๐—ก๐—ข๐—Ÿ๐—ข๐—๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ก๐—œ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ง๐—œ ๐—ฆ๐—”๐—™๐—œ ๐—ก๐—” ๐—•๐—ฅ๐—”๐— ๐—ข ๐—ง๐—˜๐—–๐—›๐ŸŒฟโ€‹Je, una nia ya kuachana na gharama kubwa za mkaa wa miti? Je, ungepe...
21/04/2026

๐ŸŒฟ ๐—๐—œ๐—™๐—จ๐—ก๐—ญ๐—˜ ๐—ง๐—˜๐—ž๐—ก๐—ข๐—Ÿ๐—ข๐—๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ก๐—œ๐—ฆ๐—›๐—”๐—ง๐—œ ๐—ฆ๐—”๐—™๐—œ ๐—ก๐—” ๐—•๐—ฅ๐—”๐— ๐—ข ๐—ง๐—˜๐—–๐—›๐ŸŒฟ

โ€‹Je, una nia ya kuachana na gharama kubwa za mkaa wa miti? Je, ungependa kuwa sehemu ya mabadiliko kwa kutumia nishati mbadala inayohifadhi mazingira?
โ€‹BRAMO TECH tunakukaribisha kwa mafunzo maalum ya vitendo!

โ€‹๐ŸŽ“ Tunachofundisha:
โœฆ โ€‹Uzalishaji wa Mkaa Mbadala (Briquettes): Jifunze jinsi ya kutengeneza mkaa bora kutokana na masalia ya mazao na taka za mazingira.
โœฆ โ€‹Matumizi sahihi ya Nishati Safi: Mbinu bora za kisasa za kupikia kwa usalama, haraka, na gharama nafuu.

โ€‹โš™๏ธ Huduma za Mashine:
โ€‹Mbali na mafunzo, tunasanifu na kutengeneza mashine imara za kisasa za kuzalisha mkaa mbadala (k**a zinavyoonekana pichani). Mashine zetu ni:
โœ… Rahisi kutumia.
โœ… Zinazozalisha kwa tija kubwa.
โœ… Zinazodumu kwa muda mrefu.

โ€‹๐Ÿ‘ฅ Walengwa:
1. โ€‹Watu binafsi wenye ari ya ujasiriamali.
โ€‹2. Vikundi vya kijamii vinavyotaka kuanzisha mradi wa nishati.
โ€‹3. Wadau wote wa mazingira na nishati safi.

โ€‹๐Ÿ“ Mahali: Kibada Garden, Kigamboni, Dar es Salaam.
๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa: 0768546536

โ€‹BRAMO TECH: Ubunifu wa Teknolojia kwa Nishati Endelevu! ๐ŸŒ๐Ÿš€

๐”๐’๐‡๐ˆ๐๐ƒ๐ˆ ๐“๐„๐๐€! ๐Œ๐–๐€๐Š๐€ ๐–๐€ ๐๐ˆ๐‹๐ˆ ๐Œ๐…๐”๐‹๐”๐‹๐ˆ๐™๐Ž ๐“๐”๐Š๐ˆ๐–๐€ ๐Š๐ˆ๐‹๐„๐‹๐„๐๐ˆ ๐Ÿฅ‡โœจ*Habari njema kwa wateja wetu! BRAMO Tech tunaendelea kuthibitis...
14/04/2026

๐”๐’๐‡๐ˆ๐๐ƒ๐ˆ ๐“๐„๐๐€! ๐Œ๐–๐€๐Š๐€ ๐–๐€ ๐๐ˆ๐‹๐ˆ ๐Œ๐…๐”๐‹๐”๐‹๐ˆ๐™๐Ž ๐“๐”๐Š๐ˆ๐–๐€ ๐Š๐ˆ๐‹๐„๐‹๐„๐๐ˆ ๐Ÿฅ‡โœจ*

Habari njema kwa wateja wetu! BRAMO Tech tunaendelea kuthibitisha ubora wetu kwa kunyakua tuzo ya ๐–๐š๐›๐ฎ๐ง๐ข๐Ÿ๐ฎ ๐๐จ๐ซ๐š ๐ฐ๐š ๐๐ข๐ฌ๐ก๐š๐ญ๐ข ๐๐จ๐ซ๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ฎ๐ฉ๐ข๐ค๐ข๐š ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š 2026 (๐‚๐ฅ๐ž๐š๐ง ๐‚๐จ๐จ๐ค๐ข๐ง๐  ๐ˆ๐ง๐ง๐จ๐ฏ๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐€๐ฐ๐š๐ซ๐), iliyotolewa na Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC).

Pia, tunajivunia kuwa Kmpuni bora ya Nishati Safi ya Kupikia. Huu ni ushindi wa Watanzania wote wanaochagua nishati rafiki kwa mazingira!

BRAMO Tech tunafunga mifumo ya kisasa ya nishati safi (Biogas) inayozalisha gesi kwa kutumia:
โœ… Mabaki ya chakula.
โœ… Kinyesi cha ng'ombe, kuku, na nguruwe.
โœ… Taka nyingine za kikaboni.

Ni wakati wa kupika kisasa na kuokoa gharama. Shukrani za pekee kwa TWCC kwa kutambua mchango wetu katika mapinduzi ya nishati safi nchini.

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi leo upate huduma kutoka kwa mabingwa waliothibitishwa.
BRAMO Tech: Ubunifu Unaogusa Maisha.

Modester Lukosya Naftali Kussaga

๐ŸŒž ๐“๐€๐€ ๐™๐€ ๐’๐Ž๐‹๐€๐‘ ๐’๐“๐‘๐„๐„๐“ ๐‹๐ˆ๐†๐‡๐“๐’ ๐™๐ˆ๐Œ๐„๐–๐€๐’๐ˆ๐‹๐ˆ!๐ŸŒ™BRAMO Tech inakuletea mwangaza mpya kwenye mtaa wako! Sasa unaweza kufurahia ba...
02/01/2026

๐ŸŒž ๐“๐€๐€ ๐™๐€ ๐’๐Ž๐‹๐€๐‘ ๐’๐“๐‘๐„๐„๐“ ๐‹๐ˆ๐†๐‡๐“๐’ ๐™๐ˆ๐Œ๐„๐–๐€๐’๐ˆ๐‹๐ˆ!๐ŸŒ™

BRAMO Tech inakuletea mwangaza mpya kwenye mtaa wako! Sasa unaweza kufurahia barabara zenye usalama na mwangaza usiku wote, huku ukisaidia kuokoa umeme na kulinda mazingira kwa kutumia taa hizi za kisasa na rafiki kwa mazingira.

Street Lights hizi zina sifa kuu zifuatazo;

โœ… Uimara wa hali ya juu
โœ… Hutoa mwangaza usiku wote
โœ… Rafiki kwa mazingira
โœ… Zinapunguza bili za umeme
โœ… Rahisi kufunga

Kwa mawasiliano zaidi tupigie sasa 0768 546 536

Address

Kibada

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BRAMO Tech Engineering Company Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BRAMO Tech Engineering Company Limited:

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Engineering Company?

Share