Wizara ya Ujenzi

  • Home
  • Wizara ya Ujenzi

Wizara ya Ujenzi The Ministry of Works was instituted in November, 2010 by the President of The United Republic of Tanzania Hon. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.

VISION
To have quality, efficient, cost-effective construction industry that is capable of meeting the adverse needs for safe and environmentally friendly construction, rehabilitation and maintenance of Roads, Buildings, as well as Electrical and Mechanical Works and other works that facilitates social economic development of the country.

Ujenzi wa Daraja la Kigamboni umefikia asilimia 85
03/07/2015

Ujenzi wa Daraja la Kigamboni umefikia asilimia 85

Ujenzi wa Daraja la Kigamboni ukendelea
04/06/2015

Ujenzi wa Daraja la Kigamboni ukendelea

Ujenzi wa Daraja la Kolo katika barabara ya Dodoma-Babati ukiendelea
04/06/2015

Ujenzi wa Daraja la Kolo katika barabara ya Dodoma-Babati ukiendelea

Interchange ya Ubungo: Benki ya Dunia imekubali kugharamia utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara za juu (Interchang...
04/06/2015

Interchange ya Ubungo:
Benki ya Dunia imekubali kugharamia utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara za juu (Interchange) katika makutano ya Ubungo. Upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa Interchange ya Ubungo umekamilika. Zabuni ya kumpata Mhandisi Mshauri kwa ajili ya usimamizi wa ujenzi zimetangazwa. Aidha, Serikali inakamilisha taratibu kwa ajili ya kutangaza zabuni za kumtafuta Mkandarasi wa ujenzi. Interchange ya Ubungo itakuwa na levels tatu ambapo magari yanayotoka katikati ya jiji la Dar es Salaam kuelekea Morogoro yatapita chini, magari yanayotoka TAZARA kuelekea Mwenge yatapita juu na magari yanayokata kulia yatapita katikati. Gharama za mradi huu zinakadiriwa kuwa Shilingi Bilioni 126.661.

Kwa wale wakazi wa jiji la Mwanza...hapo ni maeneo ya Furahisha  sehemu ambayo litajengwa daraja la Waenda kwa miguu k**...
01/06/2015

Kwa wale wakazi wa jiji la Mwanza...hapo ni maeneo ya Furahisha sehemu ambayo litajengwa daraja la Waenda kwa miguu k**a lile la mabatini

MV DAR
24/04/2015

MV DAR

UJENZI WA BARABARA YA DODOMA (MAYAMAYA) HADI BABATI (BONGA) KM 188.15 UNAENDELEA VIZURI
16/04/2015

UJENZI WA BARABARA YA DODOMA (MAYAMAYA) HADI BABATI (BONGA) KM 188.15 UNAENDELEA VIZURI

Sehemu ya  barabara ya Sumbawanga – Kanazi (km 75);
26/03/2015

Sehemu ya barabara ya Sumbawanga – Kanazi (km 75);

Serikali ya Jamhuri ya Korea imeridhia kutoa fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Daraja jipya la Salender..Picha hii inaonyesha...
01/03/2015

Serikali ya Jamhuri ya Korea imeridhia kutoa fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Daraja jipya la Salender..Picha hii inaonyesha daraja hilo litakavyokuwa mara baada ya kukamilika

Mzani wa Kisasa wa Vigwaza k**a unavyoonekana. Mzani huu utapima magari kwa haraka zaidi na kutumia  muda wa sekunde 30 ...
18/02/2015

Mzani wa Kisasa wa Vigwaza k**a unavyoonekana. Mzani huu utapima magari kwa haraka zaidi na kutumia muda wa sekunde 30 kwa kila gari tofauti na mizani ya sasa inayotumia dakika moja na nusu mpaka mbili.mzani huu utakuwa na detector maalumu ambayo itagundua gari k**a limezidisha uzito mita 200 kabla ya kufika kwenye mzani.

Barabara ya Tunduma-Sumbawanga(km 225) ikiwa imekamilika kujengwa kwa kiwango cha lami
09/02/2015

Barabara ya Tunduma-Sumbawanga(km 225) ikiwa imekamilika kujengwa kwa kiwango cha lami

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wizara ya Ujenzi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Engineering Company?

Share