Aimbora Metals

  • Home
  • Aimbora Metals

Aimbora Metals Aimbora Metals (AM) is a Tanzanian gold mining company that specializes in operating in emerging markets in Tanzania.

AM prides itself as a streamliner of business systems by maximizing shareholder value and a good citizen of the community operates in it.

Kambi k**a Kambi...Katika pita pita zetu kwenye makambi ya wachimbaji, tumekutana na Kambi hii... Tumependa fikra mbadal...
19/06/2023

Kambi k**a Kambi...
Katika pita pita zetu kwenye makambi ya wachimbaji, tumekutana na Kambi hii...
Tumependa fikra mbadala ya hawa wachimbaji na akili ya kujiongeza walioyotumia!
Kile ulichonacho ndicho unachohitaji kwa ajili ya hatua yako ya juu zaidi, kwa hiyo tumia kile ulichonacho!

Fursa ya Kuwekeza kwenye Mgodi wa Dhahabu. 1. Kipindi cha uwekezaji: miezi 3.2. Dhumuni la mradi; kuchimba, kusaga na ku...
03/06/2023

Fursa ya Kuwekeza kwenye Mgodi wa Dhahabu.

1. Kipindi cha uwekezaji: miezi 3.
2. Dhumuni la mradi; kuchimba, kusaga na kuozesha.
3. Sifa za Mwamba:
Upana ni mita 1,
Sampuli : 2.5g/t mpaka 3.5glt
Mwamba upo sio wa kufukuzia au kutafuta!
4. Kiwango cha fedha kinachohitajika: Milioni 5.
5. Faida ya mwekezaji: 30% ya mtaji ulioweka, baada ya kuchenjua! Bofya link hapo kwenye Bio ili kupata maelezo zaidi ya wapi mradi upo na namna unaweza kushiriki!




https://aimborametals.blogspot.com/2023/06/uwekezaji-katika-mgodi-wa-dhahabu.html?m=1

08/05/2023

Kazi ya Uchimbaji wa dhahabu sio lelemama, inahitaji nguvu, akili na uvumilivu mwingi.
Hii video inaonyesha namna vijana wakitoa pampu ya maji kutoka mgodi, kwenye shimo lenye urefu wa koleo 45 na zaidi! Hakika chakula ndio nguvu kubwa inafanya kazi hii ya Uchimbaji.
Hiyo pampu Ina uzito wa kilo 65 na hivyo kupandisha juu kinyume na nguvu ya gravity sio kazi ndogo tena ukizingatia shimo Halipo wima, linakona stand zaid ya Moja!

Wanafunzi wa Kiwanja High School walitembelea Banda la Rango Bridge Ltd, kampuni yetu mama! Maswali yalikuwa mengi, hama...
16/03/2023

Wanafunzi wa Kiwanja High School walitembelea Banda la Rango Bridge Ltd, kampuni yetu mama!
Maswali yalikuwa mengi, hamasa na shauku ya Kujifunza, kuona na kushika dhahabu!
Hii metali ya njano inaushawishi wa kipekee Sana, haswa mtu anapokutana nayo kwa mara ya kwanza.


Dhahabu Mbichi....Part 1.Mara baada ya kuosha udongo wenye dhahabu kwenye   ule udongo unaonasa kwenye gunia au chujio h...
25/02/2023

Dhahabu Mbichi....
Part 1.
Mara baada ya kuosha udongo wenye dhahabu kwenye ule udongo unaonasa kwenye gunia au chujio huwekwa kwenye diaba na kisha zoezi la kuk**atisha huanza. Baadhi ya wachimbaji hupiga na baadhi hawafanyi hivyo. Kwa kifupi kuk**atisha ni zoezi la kuchanganya zebaki na omega (gold concentrate) kwa lengo la kuifanya zebaki inyonye dhahabu iliyoko kwenye udongo huo. Baada ya zoezi la kuk**atisha kukamilika zebaki iliyok**ata dhababu hukamuliwa kwenye kitambaa ili kuhakikisha ile zebaki ambayo haijak**ata mzigo inahifadhiwa kwa ajili ya kutumika baadae. Ile zebaki yenye mzigo huviringishwa na kuwa k**a gololi. Dhahabu iliyoko kwenye gololi hizi huitwa dhababu Mbichi, namna ya kuitoa hapo kwenye hiyo Hali ni kwa kutumia moto, aidha wa mkaa au gesi.
Dhahabu inayopatikana kwa njia hii inamchango mkubwa sana kwenye kuendesha shughuli za kila siku za Mchimbaji mdogo. Kiuhalisi hichi ndicho wachimbaji wengi zaidi ya 80% wamekuwa wakitegemea kuendesha maisha yao ya kila siku. Ukisia karasha kinajiendesha basi ujue dhababu yake inapatikana kwa njia hii. Ukisikia mtemba unasoma ujue chanzo chake ni dhahabu ya namna hii.

Itaendelea.....

Safari ya Dhahabu...Part 1.Umewahi kujiuliza kwanini dhahabu mara nyingi inapatikana porini au sehemu za vijijini ndani ...
25/02/2023

Safari ya Dhahabu...
Part 1.
Umewahi kujiuliza kwanini dhahabu mara nyingi inapatikana porini au sehemu za vijijini ndani ambako hakuna maendeleo au Hali za maisha ni duni Sana!?
Kwa mfano maeneo mengi yenye migodi yapo mbali sana na makazi ya watu na hata yale yaliyoko karibu na makazi kiuhalisi makazi yake yalikuja baada ya migodi kuanzishwa!
Tutapenda kusikia mtizamo wako juu swali hili na unaweza kuacha maoni yako au jibu la swali kwenye comment hapo chini.
Picha inayoonekana hapo juu ni safari ya kutoka mjini kwenda Kijiji kinaitwa kilichopo vijijini katika harakati za kutafuta dhahabu.
Miamba ya Ina sampuli kubwa sana ukilinganisha na maeneo mengine katika wilaya ya mingi inaanzia 10ppm - 30ppm, changamoto kubwa ni madini ya ( ) ( ) ambayo yanakuwa yamechanganyikana na dhahabu katika miamba hiyo.
Bila kutilia maanani uwepo wa elementi hizi mbili kwenye rudio, wengi wa wachimbaji wadogo wa wamepata hasara kubwa sana kwani wamechenjuwa kwa mazoea bila kujua athari hasi ya uwepo elementi hizi. Makala ijayo tutaangazia kisa cha Mchimbaji mmoja aliyepata gramu 200 za dhahabu badala ya kilo 2, kwa sababu ya 10000ppm iliyokuwa kwenye rudio lake.

Itaendelea......

Heri ya Mwaka Mpya kwa kila Mmoja wenu, kwetu sisi mwaka 2023 ni mwaka wa utele, uzalishaji, ukuaji, mwaka wa kuongezeka...
08/01/2023

Heri ya Mwaka Mpya kwa kila Mmoja wenu, kwetu sisi mwaka 2023 ni mwaka wa utele, uzalishaji, ukuaji, mwaka wa kuongezeka, kuchanua, kunawiri na kuimarika kipekee, kutoka kwa familia nzima ya tunawatakia heri ya mwaka Mpya uliojaaa fanaka na baraka tele.

#2023

Address

Mwaikibaki Road

14121

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aimbora Metals posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Aimbora Metals:

  • Want your business to be the top-listed Engineering Company?

Share