Marenga Animal Feeds

Marenga Animal Feeds 🐓Wazalishaji wa Vyakula vya Mifugo
💊Wauzaji wa Chanjo na Madawa ya Mifugo
🌽Wazalishaji wa Unga Bora wa Sembe

🐷 Faida ya kesho inaanzia kwenye chakula cha leo.Marenga Pig Starter Pellet ni chakula bora kwa watoto wa nguruwe, kinac...
06/06/2026

🐷 Faida ya kesho inaanzia kwenye chakula cha leo.

Marenga Pig Starter Pellet ni chakula bora kwa watoto wa nguruwe, kinachosaidia ukuaji wa haraka, afya njema na mwanzo imara wa ufugaji wenye tija.

📞 0758828750
📍 Moshi, Kiboriloni

Ugali mzuri huanzia kwenye unga bora! 🌽Furahia ugali mweupe, laini na wenye ladha halisi kutoka Marenga Millers. Tunakul...
05/06/2026

Ugali mzuri huanzia kwenye unga bora! 🌽
Furahia ugali mweupe, laini na wenye ladha halisi kutoka Marenga Millers. Tunakuletea ubora unaouamini kwa familia yako kila siku.

📞 0758828750

Sio unga wa kawaida... ni kifurushi cha lishe kwa familia nzima! 🌾💪Watoto wakue vizuri, wazee wapate nguvu, na familia i...
04/06/2026

Sio unga wa kawaida... ni kifurushi cha lishe kwa familia nzima! 🌾💪

Watoto wakue vizuri, wazee wapate nguvu, na familia ifurahie lishe bora kila siku.

🥣 Chagua afya. Chagua unga wa lishe.

🐄 Una uhakika ndama wako anapata maziwa ya kutosha?Lishe bora katika siku za mwanzo huweka msingi wa ukuaji mzuri wa nda...
03/06/2026

🐄 Una uhakika ndama wako anapata maziwa ya kutosha?

Lishe bora katika siku za mwanzo huweka msingi wa ukuaji mzuri wa ndama. Marenga Vet Centre tunauza maziwa mbadala (milk replacer) pamoja na calf feeding bottles kwa ajili ya kuwanywesha ndama kwa urahisi na usahihi.

📍 Kiboriloni, Moshi📞 0758828750

Karibu upate ushauri na bidhaa bora kwa mifugo yako.

02/06/2026
26/05/2026
📍 Dodoma tumewafikia rasmi!Sasa huduma bora za chakula cha mifugo zinapatikana pia Shayo Animal Feeds, Majengo – Dodoma....
24/05/2026

📍 Dodoma tumewafikia rasmi!
Sasa huduma bora za chakula cha mifugo zinapatikana pia Shayo Animal Feeds, Majengo – Dodoma. 🐔🐄🐐
Karibu upate bidhaa kutoka Marenga Millers, bidhaa bora kwa mifugo yenye afya na matokeo bora.
📞 0743408350

🐔💉 Linda mifugo yako kabla magonjwa hayajaharibu faida yako!Pata madawa na chanjo bora za mifugo kwa bei rafiki hapa Mar...
23/05/2026

🐔💉 Linda mifugo yako kabla magonjwa hayajaharibu faida yako!
Pata madawa na chanjo bora za mifugo kwa bei rafiki hapa Marenga Vet – Kiboriloni. 🔥
📞 0758 828 750

Mfugaji wa Nguruwe - Thamini Muda Wako.Kwa wafugaji wanaotaka matokeo ya haraka na faida zaidi, Marenga Animal Feeds tun...
11/05/2026

Mfugaji wa Nguruwe - Thamini Muda Wako.
Kwa wafugaji wanaotaka matokeo ya haraka na faida zaidi, Marenga Animal Feeds tunatoa suluhisho kamili la lishe kwa nguruwe wako:
▪️ Pig Starter Pellet
▪️ Pig Grower Pellet
▪️ Pig Finisher Pellet
Vyakula vilivyotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu - kuwapa nguruwe ukuaji wa haraka na afya bora.
📍 Tunapatikana Moshi, Kiborloni
🌍 Mawakala wetu wako mikoani karibu nawe
📞 Wasiliana nasi: 0758 828 750

🌺 SIKU YA MAMAHeri ya Siku ya Mama kwa mama wote - ninyi ni mashujaa! 💪Tunajua wengi wenu mnajihusisha na ufugaji - tupo...
10/05/2026

🌺 SIKU YA MAMA
Heri ya Siku ya Mama kwa mama wote - ninyi ni mashujaa! 💪
Tunajua wengi wenu mnajihusisha na ufugaji - tupo nanyi daima.
Je, unataka:
🐔 Kuku wanaokua vizuri?
🐔 Mayai mengi na ya ubora?
🐔 Faida inayoonekana?
Jibu liko moja — Marenga Millers!
✅ Layers Feeds | Broiler Feeds | Dairy Feeds | Pig Feeds
📞 Wasiliana nasi: 0758 828 750

Address

Old Moshi

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:00
Tuesday 07:30 - 17:00
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 07:30 - 17:00
Friday 07:30 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Telephone

+255758828750

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Marenga Animal Feeds posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Marenga Animal Feeds:

Share