27/11/2024
❤️❤️❤️❤️
Tunaleta burudani nyumbani! 🎉📺 Leo tumeweka TV mpya kwa nyumba ya mteja wetu na sasa familia ina nafasi ya kufurahia habari, michezo, na vipindi vya kuvutia! 🌞💡 Unasubiri nini? MySol, Sola Bora! Maisha Bora! Tuongeleshe tukuletee kifaa kwa malipo ya polepole.