Rella Company Limited

Rella Company Limited Información de contacto, mapa y direcciones, formulario de contacto, horario de apertura, servicios, puntuaciones, fotos, videos y anuncios de Rella Company Limited, Empresa de energía solar, Fuente del Maestre.

02/09/2026

3HP HYBRID WATER PUMP — MUFUNDI IRINGA

Unahitaji mfumo wa kusukuma maji wenye nguvu, ufanisi na unaotumia nishati ya jua kwa ajili ya kilimo, mifugo, visima, matanki au matumizi ya biashara?

3HP Hybrid Pump ndiyo chaguo sahihi!

© Pump Capacity: 3HP
© Water Output: Lita 3,000–5,000 kwa saa
© Power System: Hybrid Solar System
© Application: Visima, kujaza matanki, umwagiliaji, mifugo, matumizi ya nyumbani na biashara
© Installation Sites: Tumefubga mifumo mitatu katika mashamba matatu Tofauti ndani ya Mafinga-IRINGA.
© Solar Powered: Inatumia nishati ya jua kwa ufanisi mkubwa

Faida kuu:
✓ Inasukuma maji mengi kwa muda mfupi
✓ Inatumia nishati ya jua
✓ Inafaa kwa kilimo cha umwagiliaji
✓ Inafaa kwa mifugo na matumizi ya nyumbani
✓ Inafaa kwa biashara na miradi mikubwa
✓ Gharama ndogo za uendeshaji
✓ Mfumo mmoja unaweza kutumika katika maeneo mbalimbali yenye uhitaji wa maji

Wasiliana nasi
0767 870 875
0769 724 460

Tunafanya kazi mikoa yote tanzania

3HP HYBRID WATER PUMP — MAFINGA! ☀️💧Unahitaji mfumo wa kusukuma maji wenye nguvu, ufanisi na unaotumia nishati ya jua kw...
01/09/2026

3HP HYBRID WATER PUMP — MAFINGA! ☀️💧

Unahitaji mfumo wa kusukuma maji wenye nguvu, ufanisi na unaotumia nishati ya jua kwa ajili ya kilimo, mifugo, visima, matanki au matumizi ya biashara?

3HP Hybrid Pump ndiyo chaguo sahihi!

© Pump Capacity: 3HP
© Water Output: Lita 3,000–5,000 kwa saa
© Power System: Hybrid Solar System
© Application: Visima, kujaza matanki, umwagiliaji, mifugo, matumizi ya nyumbani na biashara
© Installation Sites: Maeneo 3 tofauti — Mafinga
© Solar Powered: Inatumia nishati ya jua kwa ufanisi mkubwa

Faida kuu:
✓ Inasukuma maji mengi kwa muda mfupi
✓ Inatumia nishati ya jua
✓ Inafaa kwa kilimo cha umwagiliaji
✓ Inafaa kwa mifugo na matumizi ya nyumbani
✓ Inafaa kwa biashara na miradi mikubwa
✓ Gharama ndogo za uendeshaji
✓ Mfumo mmoja unaweza kutumika katika maeneo mbalimbali yenye uhitaji wa maji

Wasiliana nasi

0767 870 875
0769 724 460

Tunafanya kazi mikoa yote tanzania

3HP Hybrid Pump ni pampu yenye nguvu na ufanisi mkubwa kwa ajili ya kusukuma maji kwa matumizi mbalimbali. Ina uwezo wa ...
24/08/2026

3HP Hybrid Pump ni pampu yenye nguvu na ufanisi mkubwa kwa ajili ya kusukuma maji kwa matumizi mbalimbali. Ina uwezo wa kutoa lita 3,000 hadi 5,000 za maji kwa saa, hivyo inafaa kwa visima, kujaza matanki, kilimo cha umwagiliaji, mifugo pamoja na matumizi ya nyumbani na biashara. Ni chaguo bora kwa mtu anayehitaji maji mengi kwa muda mfupi.

3hp hybrid pampu ufungaji umekamilika na mteja wetu anafurahia uhakika wa maji shambani kwa muda wote atalima kwa uhakik...
23/08/2026

3hp hybrid pampu

ufungaji umekamilika na mteja wetu anafurahia uhakika wa maji shambani kwa muda wote atalima kwa uhakika bila kuwa na gharama za kila siku za mafuta au umeme.

Kwa mahitaji yote ya mifumo ya sola kwa ajili ya kilimo au matumizi mengine kwa gharama nafuu karibu kwa kuwasiliana nasi kwa namba zetu

0769 724 460
0767 870 875

Karibuni

Mradi huu unatumia Hybrid Water Pump yenye nguvu ya 5.5HP, inayopampu hadi lita 11,000 za maji kutoka kwenye chanzo cha ...
16/08/2026

Mradi huu unatumia Hybrid Water Pump yenye nguvu ya 5.5HP, inayopampu hadi lita 11,000 za maji kutoka kwenye chanzo cha maji cha mto. Mfumo huu umeundwa kwa ajili ya kuhakikisha upatikanaji wa maji kwa ufanisi na matumizi endelevu ya nishati.

📍 Location: Peramiho, Songea

Kwa maelezo zaidi kuhusu mradi huu au huduma zetu za Hybrid Water Pump, wasiliana nasi:

📞 0767 870 875
📞 0769 724 460

Mradi huu unapatikana Mafinga – Lugoda, ukiwa umefungwa 2HP Hybrid Water Pump yenye uwezo wa kusukuma maji kwa kiwango c...
13/08/2026

Mradi huu unapatikana Mafinga – Lugoda, ukiwa umefungwa 2HP Hybrid Water Pump yenye uwezo wa kusukuma maji kwa kiwango cha lita 2,500–3,000 kwa saa. Mfumo huu umeandaliwa kwa ajili ya kuhakikisha upatikanaji wa maji kwa ufanisi na kukidhi mahitaji ya mradi.

Kwa maelezo zaidi kuhusu mradi huu au huduma zetu za Hybrid Water Pump, wasiliana nasi kupitia
0767 870 875
0769 724 460

3hp hybrid pump. Flow.  4,000L/HWater source. BoreholeLocation :  HANDENI TANGA
21/07/2026

3hp hybrid pump.

Flow. 4,000L/H

Water source. Borehole

Location : HANDENI TANGA

10hp hybrid pump Flow:. 15,000-18,000 L/HWater source. RiverLocation:. Mufindi-IringaCall us0767 870 8750769 724 460
18/07/2026

10hp hybrid pump

Flow:. 15,000-18,000 L/H

Water source. River

Location:. Mufindi-Iringa

Call us

0767 870 875
0769 724 460

3hp solar  hybrid pumpFlow. 6,200L/HLocation:. MafingaCall us0768 870 8750769 724 460
12/07/2026

3hp solar hybrid pump

Flow. 6,200L/H

Location:. Mafinga

Call us

0768 870 875
0769 724 460

3hp solar hybrid pumpLocation: Iringa IsimaniFlow. 5,000L/HCalls us0767 870 8750769 724 460
12/07/2026

3hp solar hybrid pump

Location: Iringa Isimani

Flow. 5,000L/H

Calls us

0767 870 875

0769 724 460

Dirección

Fuente Del Maestre

Página web

Notificaciones

Sé el primero en enterarse y déjanos enviarle un correo electrónico cuando Rella Company Limited publique noticias y promociones. Su dirección de correo electrónico no se utilizará para ningún otro fin, y puede darse de baja en cualquier momento.

Atajos

Compartir