04/08/2026
1. Hata panga iwe kali aje haiwezi kata kiu. 😩😩
2. Hata uwe na magari mia, choo utaenda miguu 😂😂
3. Hata uwe fundi aje huwezi repair breaking news 🤧😂
4. Hata uwe mweupe aje shadow yako bado itakuwa nyeusi 😩😂
5. Hata uwe mrefu aje huwezi ona kesho 😎
6. Hata manzi ajifanye maringo aje pia simba na ukali wake hutiwa mimba 😩😂
7. Hata redio yako iwe noma aje haiwezi shika police station 😩😂
8. Hata uwe kinyozi hodari aje huwezi nyoa vichwa vya habari 🤧😂
9. Hata uwe na bahati vipi huweziokota nyumba 😩😩
10. Hata dem ajifanye baunsa aje hawezi tembea kifua wazi 🤧😂
11. Hata uwe mfupi aje hauwezi shindwa kuruka mwaka. 😎😩
12. Hata uwe mhot aje uwezi washa candle, 🕯️😂
Au sio🥰😅, that's naked truth😁🔥😂 usiende bila kunifollow mtu wangu ❤️ 😂🥰😅 Sammy kiplimo Pro Kiplimo Kiplimo k rop Kiplimo limo rop